Hii ni ishara gani dada zetu?

Yaani anauliza kabisa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee umeona wapi ukapewa mamlaka bila ya wasifu wako kujulikana?, dada zetu endelee na utaratibu wenu huo huo tu, na sisi baadhi ya kaka zenu tutaendelea na utaratibu wetu ule ule wa kuwadanganya kazi tunazofanya.
 
Ukiona hivo ujue anataka ndoa, hataki kutiwa tiwa na kuachwa.
Coz kama huna job huwezi kuowa kwa wakati huo hadi upate kazi
sio kwel mkuu imagine mtu kama huyo siku ya siku mambo yameenda kombo nini kitatokea kama sio kukitembeza mtaa mzima na atakua hachagui
 
sio kwel mkuu imagine mtu kama huyo siku ya siku mambo yameenda kombo nini kitatokea kama sio kukitembeza mtaa mzima na atakua hachagui
Muda huo usha mtia na mimba, akiondoka hilo ni swala lake sasa, wew una shida gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…