Hawataki chai wanataka ,Pizza, Burger , Nissan Fuga na Iphone 11 ProMkuu lazima uulizwe, hawa by nature wameumbwa watutegemee hasa kale ka kipengele ka kula kwa jasho, so lazima ahakikishe kuna chai ndio akukubali
Mimi uwa naazimaga tshirt za TRA nikienda kutongoza.