Hii ni hatari eh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni hatari eh?

Discussion in 'Jamii Photos' started by JosM, Jul 14, 2009.

 1. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  "Wanangu msijali tutafika tu manake mungu ni mkubwa"
  ni kama ndivyo anavyofikiria mawazoni mwake jamaa huyu ambaye amewapakia
  watoto saba katika pikipiki yake yeye akiwa mtu wa nane,
  bila hata kujali kwamba anahatarisha maisha yao na yeye mwenyewe kwakweli hii ni
  kali wadau hebu iangalieni na kuchangia maoni yenu.
   

  Attached Files:

  • pi.JPG
   pi.JPG
   File size:
   49.8 KB
   Views:
   1,840
 2. m

  masaiti Senior Member

  #2
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kaazi kweli kweli. Kwa mwendo huu kweli ajali za barabarani zitakwisha?
   
 3. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  mkuu hivi hii ni ya hapa hapa bongo?kama ni kweli traficc police wanafanya kazi gani? kweli bado tuna kazi ya kufanya na kweli ni watoto wake basi ni hatari tupu.
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ni watoto wake wote? mh mzee extreme?
   
 5. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni hapa Bongo mkuu.
   
 6. M

  Msindima JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mhh ya huyu jamaa ni kazli,hawa wato ni watoto wake au? anyway hata kama ni watoto wake haina shida ila haoni kama anahatarisha maisha ya hawa watoto?Maana hapo ikitokea ajali anaweza poteza familia nzima.
   
 7. GP

  GP JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hii staili inaitwa MISHIKAKI!
   
 8. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapa jamaa alikuwa anarudi kutoka kanisani na familia yake.
   
 9. A

  Audax JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hii balaa,jamani sasa ajali ikitokea c harusi hii? Maana cyo msiba.Traffic kazi yenu nini?
   
 10. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hapa siyo bongo ni AFRIKA MAGHARIBI mzee
   
 11. Kiruke cha Ibwe

  Kiruke cha Ibwe Member

  #11
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Duuuuuh am speechless. kwa hesabu za haraka hawa kweli ni watoto wa mshkaji na unaeza kuwapanga wakwanza adi wa mwisho! na inawezekana wife yuko home pregnant. hatari kwelikweli
   
 12. a

  achiwalila Member

  #12
  Jul 14, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii haina shida, inahitaji tu umakini wa mwendeshaji na mazoea. watafika tu.

  Note; ukikata tamaa hufanikiwiiii.
   
 13. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli TZ hatuna usafiri wa hizi bodaboda. Hii itakuwa huko Afrika ya Magharibi.
   
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kweli Mungu yupo!!!
   
Loading...