Hii ni ham kubwa na naitaji ku

kukumdogo aka kifaranga. Preta naona unaguna tu husema kitu, kama nakuona vile unatafuna tafuna kucha na kuangalia chini
 
pole mpenzi tukupe dawa gani kukutuliza mpaka utakapofanikisha lengo .............
 
Duh! kuna hamu! ila jamaa ANAHAMU KUBWAAAAA!!! na kaweka wazi lengo kuwa anafaa duh! jumlisha toa jamaa kamaliza kazi mezani kabla ya kwenda field.
 
Hii ndo JFbwana raha tupu kwetu vijana wa zamani. Kijana mi ndo mzazi wake, umempata ila umejianda vipi? Una nyumba?, gari?, Master card?, teh! teh! teh! teh!
 
Halahala na mke wangu! She is mine na hakuna atakayetutenganisha!? Tumetoka nae mbali sana! Na tutafika nae mwisho. Halahala kijana!
 
hapo sasa!!!!!!

You don't have to crack your head! She's my wife and we've known each other since then. Huyu dogo kazinguliwa na picha (avatar) na ninamshauri ajipange upya maana kama sio jela, basi kifo kinamwita!?
 
You don't have to crack your head! She's my wife and we've known each other since then. Huyu dogo kazinguliwa na picha (avatar) na ninamshauri ajipange upya maana kama sio jela, basi kifo kinamwita!?
kaka kutishana tena humu! acha hizo
 
Nyie watu ni waajabu sana!Preta katulia zake getto kwangu sahizi then nyie mwatoana mimacho mitaani!polen
 
Back
Top Bottom