Hii ni ham kubwa na naitaji ku

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,866
2,746
Mwenzenu naham ya kumuona msichana mmoja wa humu ndani anaitwa pretta. Huyu dada anaonekana ni mchesi na mzuri pia anafaa kuwa wife.
 
Mwenzenu naham ya kumuona msichana mmoja wa humu ndani anaitwa pretta. Huyu dada anaonekana ni mchesi na mzuri pia anafaa kuwa wife.
Hivi kwa mfano mimi hapa nitakusaidiaje??? si unge m-PM? huoni unajaza tu saver kwa thread ya kichovu kama hii? Kuna uwezekano kabisa ungewasiliana naye angekupa appointment muonane week end hii.
 
Mwenzenu naham ya kumuona msichana mmoja wa humu ndani anaitwa pretta. Huyu dada anaonekana ni mchesi na mzuri pia anafaa kuwa wife.
haya sasa Preta unaitwa huku,..ila bwanaake ni mwanamasumbwi maarufu sana hapa mjini...sijui kama umejiandaaandaaje kwa mpambano mkuu
 
haya sasa preta unaitwa huku,..ila bwanaake ni mwanamasumbwi maarufu sana hapa mjini...sijui kama umejiandaaandaaje kwa mpambano mkuu
ndo nataka niongee nae akikubali masumbwi hayafanyi kazi kwenye mapenzi
 
Back
Top Bottom