Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,648
Hili hawalisemiNi pigo na ni Msiba mkubwa sana kutokea kwa mara Moja.
Kingine cha kukumbushana kuwa hawa waathirika walikuwa wameshachanjwa!
Hili hawalisemiNi pigo na ni Msiba mkubwa sana kutokea kwa mara Moja.
Kingine cha kukumbushana kuwa hawa waathirika walikuwa wameshachanjwa!
Amani ya kweli inatoka kwa Mungu,hiyo amani uliyoipata baada ya kuchanja ni ya muda mfupi mno!Nina amani sasa baada ya kupata CHANJO..
Hapana, baba yao alikua na asili ya UJerumani sio Greece.Hapana, baba yao nafikri alikuwa na damu ya Kigiriki. Ila mama yao ni Mhehe!
Huyu Mzee Hanspope mama yake ni Mhehe, watoto wake wawili ninaowafahamu mmoja Harry Hanspope ambaye ni mdogo wake Zakaria Hanspope wote walikuwa askari wa TPDF Harry akiwa ni rubani wa ndege za mzigo za jeshi wakati Zakaria Hanspope akiwa muongozaji wa rada za jeshi wote wawili wakati wakikamatwa kwa tuhuma za uhaini walikuwa na cheo cha Captain.
Huyu je?Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.
Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.
Ni mtihani mkubwa sana familia ya Hans Pope inaupitiaView attachment 1933260
Uko vizuri sana..tunajisahau sana..Watu wanafikiri ukichanjwa basi ujiachie achie tu. Ukichanjwa endelea kuchukua tahadhari.
Mzee kwelialikuwa RPC Mkoa wa Ziwa Magharibi Idd Amin alipovamia kwa mara ya kwanza kabla ya Tangazo la Vita walikwenda Polisi alipokuwa akiangalia kwa kutumia darubini majeshi ya Idd Amini yalimuona yakasema Nyerere amelata mamluki kumsaidia kwakuwa alikuwa ni chotara wa Kijerumani akauawa na mwili wake ukachukuliwa na Majeshi ya Nduli Amini baada ya vita Mwili ulirudishwa akazikwa Tanzania.Mzee wake alikuwa mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa kagera enzi za vita vya KAGERA.
Askari wa IDDI AMIN nasikia walipita nae.
Mwenye undani wa historia ya baba ake atueleze kidogo
Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.
Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.
Ni mtihaniH
Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.
Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.
Ni mtihani mkubwa sana familia ya Hans Pope inaupitiaView attachment 1933260
Chanjo inapunguza kasi kuamubkizwa na ukipata uviko una nafasi kubwa ya kupona. Nashangaa na wanaotaka kusema kama utaupata ugonjwa na kufa, hakuna faida ya kuchanja. Kuna magonjwa mengi tunatachanja au tunapata dawa lakini hatimaye dawa huzidiwa na ugonjwa na mgonjwa kufa. Je, kwa sababu mgonjwa aliyekuwa akitumia dawa amekufa, tulio wazima tukiugua huo ugonjwa tusitumie kwa misingi kuwa kuna walioiyumia wamekufa? Pamoja na wachache waliyochanjwa kufa kwa corona, kuna wengi wameepushwa mauti na chanjo.Naomba kufahamishwa
Kama ukichanja bado unaweza kuumwa na kufa faida ya chanjo ni nini sasa
Sidhani kama Zacharia alikuwa Kanali. Nadhani alikuwa Luteni au Captain.Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.
Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.
Ni mtihani mkubwa sana familia ya Hans Pope inaupitiaView attachment 1933260
Marehemu Zacharia Hans Pope mpakaanashitakiwa kwa kesi ya uhaini alitokaJeshini akiwa na cheo cha Captain na hata Major hakupata licha ya huo u colonelSidhani kama Zacharia alikuwa Kanali. Nadhani alikuwa Luteni au Captain.
Siku moja nilikuwa maeneo ya Motel Agip naongea na jamaa mmoja.
Akapita Eddy. Nikamtazama anavyoendelea na safari yake and I was thinking aloud yule mtu in familiar? Yule jamaa niliyekuwa naongea naye akasema Eddy umemsahau?Tulikuwa tunasoma naye Mkwawa.
On the very next day Eddy akafika nyumbani kwangu kuniona. Alikuwa anataka niandike barua aipeleke kwa Authorities ili Zacharia atolewe Ukonga. Nikaiandika hiyo barua. Those were the days. I was powerful. Nilikuwa naweza kuandika barua na kumtoa mtu jela.
Hakuna kitu kama hicho, wahaini wote walitolewa kwa msamaha wa Rais mstaafu Alli Hassan Mwinyi mwaka 1995. Acha kujikweza ndiyo maana hujui hata cheo cha mtu unayejidai kuwa ulimtoa. Niulize mimi ambaye tulikuwa naye kikosi kimoja,alifungwa akiwa Captain na kutoka jela akiwa Captain. Hakuna cha kusema eti nadhani alikuwa Captain Luten. Sisi ndiyo tuliosoma Mkwawa enzi hizo ikiitwa St. George's and St. Michael's School. Umtoe wewe mtu aliyekuwa amefungwa maisha, ulikuwa na ubavu gani!Pengine wakati huo wewe ulikuwa Corporal au Sergeant tu.Sidhani kama Zacharia alikuwa Kanali. Nadhani alikuwa Luteni au Captain.
Siku moja nilikuwa maeneo ya Motel Agip naongea na jamaa mmoja.
Akapita Eddy. Nikamtazama anavyoendelea na safari yake and I was thinking aloud yule mtu in familiar? Yule jamaa niliyekuwa naongea naye akasema Eddy umemsahau?Tulikuwa tunasoma naye Mkwawa.
On the very next day Eddy akafika nyumbani kwangu kuniona. Alikuwa anataka niandike barua aipeleke kwa Authorities ili Zacharia atolewe Ukonga. Nikaiandika hiyo barua. Those were the days. I was powerful. Nilikuwa naweza kuandika barua na kumtoa mtu jela.
Mzee kwelialikuwa RPC Mkoa wa Ziwa Magharibi Idd Amin alipovamia kwa mara ya kwanza kabla ya Tangazo la Vita walikwenda Polisi alipokuwa akiangalia kwa kutumia darubini majeshi ya Idd Amini yalimuona yakasema Nyerere amelata mamluki kumsaidia kwakuwa alikuwa ni chotara wa Kijerumani akauawa na mwili wake ukachukuliwa na Majeshi ya Nduli Amini baada ya vita Mwili ulirudishwa akazikwa Tanzania.
Huyu Mzee Hanspope mama yake ni Mhehe, watoto wake wawili ninaowafahamu mmoja Harry Hanspope ambaye ni mdogo wake Zakaria Hanspope wote walikuwa askari wa TPDF Harry akiwa ni rubani wa ndege za mzigo za jeshi wakati Zakaria Hanspope akiwa muongozaji wa rada za jeshi wote wawili wakati wakikamatwa kwa tuhuma za uhaini walikuwa na cheo cha Captain.
Nimeshangaa eti alimuona Eddy akawa anajiuliza he looks familiar ghafla eti kesho akaja nyumbani kwake kumuomba amuandikie barua, hii ni chai ya rangi mchana wa saa sita.Hakuna kitu kama hicho, wahaini wote walitolewa kwa msamaha wa Rais mstaafu Alli Hassan Mwinyi mwaka 1995. Acha kujikweza ndiyo maana hujui hata cheo cha mtu unayejidai kuwa ulimtoa. Niulize mimi ambaye tulikuwa naye kikosi kimoja,alifungwa akiwa Captain na kutoka jela akiwa Captain. Hakuna cha kusema eti nadhani alikuwa Captain Luten. Sisi ndiyo tuliosoma Mkwawa enzi hizo ikiitwa St. George's and St. Michael's School. Umtoe wewe mtu aliyekuwa amefungwa maisha, ulikuwa na ubavu gani!Pengine wakati huo wewe ulikuwa Corporal au Sergeant tu.
E
Nimeshangaa eti alimuona Eddy akawa anajiuliza he looks familiar ghafla eti kesho akaja nyumbani kwake kumuomba amuandikie barua, hii ni chai ya rangi mchana wa saa sita.
Mtu ambaye anakuja kwako na mnafahamiana eti unajiuliza he looks familiar???
Halafu mtu amefungwa kwa uhaini unamuandikia nani amtoe jela yani yeye anaandika Kama nani? Maana hapo wa kumtoa ni president pekee maana treasonous acts is punishable kwa life sentence.
Yani anajikuta nani sasa