Hii ni Familia ya Kanali Hans Pope

Watu wanafikiri ukichanjwa basi ujiachie achie tu. Ukichanjwa endelea kuchukua tahadhari.
Pengine wasingechanja wangekuwa hai. Nafikiri kuna watu hii chanjo inatibua afya zao maana tetesi za waliochanja kuondoka ni nyingi na bora zingefanyiwa kazi ili tuwe na njia ya kusaidia wengine.
 
Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.

Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.

Ni mtihani mkubwa sana familia ya Hans Pope inaupitiaView attachment 1933260
Unajua wagonjwa wa familia nyingine je familia yako wote ni wazima?
 
familia Maaruf, Baba Hans Pope alikuwa RPC na na IDD Amin Zakaria na Harry kumpindua Nyerere.
Usiwe una kurupuka "kurupuuu", unatulia kwanza, unasafisha koo kisha unashika simu janja yako na kujibu ulichokiona...

Ni kweli Baba yake Marehemu Zacharia Alikua RPC na Aliuawa na Majeshi ya Nduli Iddi Amin "Dada".. swali, Je yupo hapo katika picha? (Hii ni dhahiri ulikurupuka, mimi nimesema katika hiyo familia "hao wa kwenye picha" maarufu ni mmoja tu)

Huyo Harry ndio nani? Alikuwa na cheo gani?
 
Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.

Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.

Ni mtihani mkubwa sana familia ya Hans Pope inaupitiaView attachment 1933260
Mbona ni kama wana viini vya udosi
 
On a sasa unaniambia nimekurupuka !Kumbe mjini umekuja juzi.
 
Nimekuja leo, hapa bado nipo na "shangazi kaja" nimetoka nayo sigimbi..

Ila uache kukurupuka, ulidhani watu tunaongelea nini!? Tunajadili hao wa kwenye picha.. Maarafu Currently, ni Ret. Capt.Z.H Pope, uwe unatofautisha "kimba" la leo na lile la mwaka 83..

Nadhani umeelewa.
 
Mzee wake alikuwa mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa kagera enzi za vita vya KAGERA.
Askari wa IDDI AMIN nasikia walipita nae.
Mwenye undani wa historia ya baba ake atueleze kidogo
 
Hii ni familia ya Hans Pope kushoto ni kaka yake Eddy ambaye naye yuko mahututi Aga Khan anapumulia mashine na uwezo wa kupumua hana.

Mdogo wake kwenye picha kulia naye amelazwa Iringa walau hali yake siyo mbaya sana.

Ni mtihani mkubwa sana familia ya Hans Pope inaupitiaView attachment 1933260
Alishafika kuwa Colonel?
 
Umbeya tu unakusumbua. Kulikua na sababu ya kuyaleta hapa au
 
Back
Top Bottom