Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Acha uongo, idadi ya wachaga walioenda elim ya juu sio kubwa zaidi ya wahaya.Afu umekaa kiconservative siku izi hadi wagogo wanasoma.
yule wamemtoa huko tanga
We huku ucguse ndugu.. Mamb iko huku
Acha upumbavu wewe. Kuna uhusiano gani na hii mada iliyoletwa na mjinga mwenzio hapo juu.alafu ni wakatholik wazuri...
Mdigo huyu
miss chaga.
weka picha yako...
tuone.
..hii mada iliyoletwa na mjinga mwenzio hapo juu.
miss chaga.
weka picha yako...
tuone.
Wachagga wa Rombo pekee ndo wako hivyo
alafu wapo irregular
wapo kama magogo kitandani
ushafanya utafiti....?