Hata kama.......hiyo mikuku yao imetepweta kama condom nani anataka........kitu kuku wa kienyeji bana......unatafuna mpaka manyoya dadeki..........
he he he......if yuu no wora am seying.........
Dah, nimetafsiri mbali sana aisee
tunaongelea kuku bana.......chicken......au kujiuzulu kwa Werema kumekuzengua........?
Hapo aliyedharauliwa ni Mwaafrika, si mtu mweusi. Tazama vizuri.
Sasa Mwaafrika ni nani?
Sasa Mwaafrika ni nani?
Ngalikihinja hii ni part ll yake, japo haina featuringSi mlishaweka hapa hayo makitu na mkasema wa Mbagala hapo anajulikana....
Kwanza, aliyeweka picha katofautisha mtu mweusi na Mwaafrika. Na nnauhakika alivyofanya ni sawa.
Pili, Afrika kuna wengi sana ambao si weusi kwa asili. Kumbuka hilo.
Tatu, kuna weusi wengi hata hapa kwenu Tanzzania wasioutaka weusi na kutwa wanajikoroga ili waondokane na weusi wao. Hulijuwi hilo? hauna dada'ko aliyejikoroga ili aondokane na weusi?
Nne. Fikiri.