Hii ni dharau kwa mtu mweusi

Hii ni dharau kwa mtu mweusi

Hata kama.......hiyo mikuku yao imetepweta kama condom nani anataka........kitu kuku wa kienyeji bana......unatafuna mpaka manyoya dadeki..........

he he he......if yuu no wora am seying.........
Na kwakuongezea Shostoto - Kuku mwenyewe lazima umfukuzie mpaka utoke jasho halafu ndio umchinje!
 
Kwanza, aliyeweka picha katofautisha mtu mweusi na Mwaafrika. Na nnauhakika alivyofanya ni sawa.

Pili, Afrika kuna wengi sana ambao si weusi kwa asili. Kumbuka hilo.

Tatu, kuna weusi wengi hata hapa kwenu Tanzzania wasioutaka weusi na kutwa wanajikoroga ili waondokane na weusi wao. Hulijuwi hilo? hauna dada'ko aliyejikoroga ili aondokane na weusi?

Nne. Fikiri.
Tatizo lako kilakitu kwako ni SIASA! Mpaka kwenye Topic ya KUKU!
 
Tatizo lako kilakitu kwako ni SIASA! Mpaka kwenye Topic ya KUKU!

inategemea upeo wako wa kutafsiri mambo. Hizo ni picha nne na kila moja inatoa ujumbe wake. Na ujumbe ni wa kisiasa. Sasa FaizaFoxy, kakosea wapi? angalia picha ya nne (ya mwafrika) hakuna hata mfupa uliobaki sasa hapo ujumbe ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Na kwakuongezea Shostoto - Kuku mwenyewe lazima umfukuzie mpaka utoke jasho halafu ndio umchinje!

Halafu jirani.......tutafutane basi w/end tukaangamize wale kuku wa Sakina bar.......na wenyewe ni shider.......
 
inategemea upeo wako wa kutafsiri mambo. Hizo ni picha nne na kila moja inatoa ujumbe wake. Na ujumbe ni wa kisiasa. Sasa FaizaFoxy, kakosea wapi? angalia picha ya nne (ya mwafrika) hakuna hata mfupa uliobaki sasa hapo ujumbe ni nini?
Na wewe naona umeshageuka na kuwa Lukuvi!
 
Hata kama.......hiyo mikuku yao imetepweta kama condom nani anataka........kitu kuku wa kienyeji bana......unatafuna mpaka manyoya dadeki..........

he he he......if yuu no wora am seying.........

Wazungu wana wivu sana! vyakula tunavyokula sisi wa africa huku kwetu kwao vinaliwa na matajiri wakubwa tu! wana viita organic food! Piga ugali wa dona, Maziwa ya mgando yawe ya ng'ombe wa kienyeji na mchicha ule wa kienyeji uliochanganywa na nyama ya kuku wa kienyeji! mambo ya kansa ni ndoto hapo
 
mimi kuku mara ya mwisho kula ilikua mwaka juzi , sasa mkiweka hizo picha na kupiga stori za kuku hapa mnanichanganya tu
 
merry X-mas and happy new Year
And U2
champagne.gif
 
Back
Top Bottom