grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,662
Inatumika kutibu matatizo mbali mbali ya mfumo wa uzazi hasa kutosimamisha vizuri, tezi dume iliyoongezeka na mengineyo mengi .
Itakuwa mwanmke sio mrembo kivileJamaa lazima abusti ndiyo isimame
SawasawaItakuwa mwanmke sio mrembo kivile
Muulize tuu boss,labda ya kupunguza maumivu na uchovu
Katembelewa na mpenzi wake mwanaume.Inatumika kutibu matatizo mbali mbali ya mfumo wa uzazi hasa kutosimamisha vizuri, tezi dume iliyoongezeka na mengineyo mengi .
Ila samahani lakini mkuu kwa kuuliza ili unitoe kwenye hii sintofahamu mbona vidole vya kiume hivyo kwenye picha?
Ahahaaaa....! Wanalala wa huyo jamaaSi kwamba wanasema popo huwa hawalali?
Mlongooo uimanyili kinawoliii..!???Mbna km Viagra, woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]