Hii ni dawa gani?

Hii ni dawa gani?

Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi
Wewe sema ulienda kujaribu Kwa Yule aliyekwambia anataka mtoto, usitufanye sisi watoto wadogo mbona maelezo hayafungamani😂😂😂 ( am kidding ).
Mwambie amuulize vizuri mke wake, maana hizo Dawa sidhani kama hata zinauzwa pharmacy
 
Hivi, niulize wakuu. Kipi hasa kinamfanya mtu apate msukumo wa kucheki afya? Kuumwaumwa? Kupata mpenzi mpya? Kujiridhisha?
Kipi hasa?
Basi tu wengine hawapendi Amani😂
 
I wish asingenionyesha hii dawa. Saa tatu leo nitakua nae ngoja nimchimbe tuone atanipa maelezo gani
Hilo ndo la msingi 👊👊, Lakini unaweza kupotezea tu.. sometimes kufatilia maisha ya watu sio vizuri
 
Ameshavifubaza Na Jamaa Yako Atakuwa Kanenepa Sawa Sawa Hakuna Kuacha Mpaka......
 
Kwani ukisema ni wifi nani atakupiga?? Hapo ndo utamkumbuka dronedrake na chama chake 😂😂😂
 
Naombeni msikilize stor alizokua ananipa... Eti jana tulivyoachana kamkuta dem nje ya fensi la nyumba yake afu kaenda kumla na video kanionyesha. Ni sahihi azitumie duuuh.

Anayeuliza kuhusu condoms ni mimi
Nimemrekod 10mins ago
Vijana tuache umalaya.. Mwamba huyu tayari kimeumana
Duuuh 🤔🤔
 
Hiyo ni antiretroviral. Dawa kwa ajili ya kufubaza virusi (HIV)

Kama anaitumia kikamilifu basi mpongeze kuliko kumshangaa ama kumhurumia. Anastahili kupongezwa. Kama anaonekana kutokuwa tayari, basi usimquestion.

Hatua kuu ni kukubaliana na uhalisia na zaidi kuamua kuanza kutumia dawa kikamilifu.

Da'Vinci
 
Hiyo ni antiretroviral. Dawa kwa ajili ya kufubaza virusi (HIV)

Kama anaitumia kikamilifu basi mpongeze kuliko kumshangaa ama kumhurumia. Anastahili kupongezwa. Kama anaonekana kutokuwa tayari, basi usimquestion.

Hatua kuu ni kukubaliana na uhalisia na zaidi kuamua kuanza kutumia dawa kikamilifu.

Da'Vinci
Daaah mwamba kumbe ndio maana ana afya sana. Japo kifeza yupo vizuri pia.
Ngoja nikae nae makini
 
Azithromycin is used to treat certain bacterial infections, such as bronchitis; pneumonia; sexually transmitted diseases (STD); and infections of the ears, lungs, sinuses, skin, throat, and reproductive organs.

Ciprofloxacin is a broad-spectrum antibiotic which means that it's used to treat a number of bacterial infections, such as: uncomplicated urinary tract infections (UTIs) where other antibiotics are not suitable and complicated Da'Vinci
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom