Hii ni dawa gani?

Hii ni dawa gani?

Hiyo ni antiretroviral. Dawa kwa ajili ya kufubaza virusi (HIV)

Kama anaitumia kikamilifu basi mpongeze kuliko kumshangaa ama kumhurumia. Anastahili kupongezwa. Kama anaonekana kutokuwa tayari, basi usimquestion.

Hatua kuu ni kukubaliana na uhalisia na zaidi kuamua kuanza kutumia dawa kikamilifu.

Da'Vinci
Doctor muda huu baada ya kumuhoji hoji kasema kwamba yeye hua anatumia hizo dawa kila anapokutana na mwanamke. Kaniambia kazimeza jioni hii pia
 
Doctor muda huu baada ya kumuhoji hoji kasema kwamba yeye hua anatumia hizo dawa kila anapokutana na mwanamke. Kaniambia kazimeza jioni hii pia
Antiretroviral ndiyo hizo hutumika kama PEP na PREP.

Lakini madai yake yana ualakini kwani uhakika zaidi wa kutumia kabla (PREP) ya kufanya mapenzi, basi itumike walau kila siku, siku saba kabla ya kujamiiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom