Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

Jamaa tayari ameshapandisha sukari... Muda mwingine mtumie lugha rafiki. Mtaua watu
Sema kama huyo mwenza wake anatumia hizo kwa usahihi ni ngumu kumuambukiza so atulie zake tu😅😅
 
fanya mpango utafute yako na wewe. ya kutia appetite hyo.
 
Sema kama huyo mwenza wake anatumia hizo kwa usahihi ni ngumu kumuambukiza so atulie zake tu😅😅
Mwanamke wako anakwambia ameungua na anatumia dawa zake kwa usahihi. Wewe utatulia?😁😁
 
Kijana anaenda kufa ukiwa bado mdogo ,ngoma haitaki mchezo.
 
Back
Top Bottom