Hapo huenda kashtukizwa ndio maana anaonekana kapigwa butwaa....Du katika hali hiyo sijui unafanya nini
Ndio mambo ya kuua bila kukusudia yanavyoanzaga
Halafu wasela kwa kucheza rafu kata funua kama zote hapo.Na inaonekana aliekula mzigo ni msela maana viwalo vinajieleza
Alinogewa hadi kasahau kutoa vitu alivyokuwa anavitupa hovyo wakati wa kuinjoi raha ya Dunia...
Usikute njemba imebana uvunguni inasikilizia msala....