Hii ni dalili kuwa ndoa iko rasmi kwenye uwanja wa mapambano

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,187
1126969

Unaporudi nyumbani na kukata hali hii, shirikisha ubongo kabla hujafungua mdomo.
 
Alinogewa hadi kasahau kutoa vitu alivyokuwa anavitupa hovyo wakati wa kuinjoi raha ya Dunia...

Usikute njemba imebana uvunguni inasikilizia msala....
Du katika hali hiyo sijui unafanya nini
 
Aanze na upekuzi ndani ya kabati. Kisha Chini ya uvungu mpaka chooni
Alinogewa hadi kasahau kutoa vitu alivyokuwa anavitupa hovyo wakati wa kuinjoi raha ya Dunia...

Usikute njemba imebana uvunguni inasikilizia msala....
 
Njemba litakuwa chini ya bed,hapo bora kukaa kimya tu, mwanamke atakimbia mwenyewe maana unaweza kwenda jela bure
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom