Aisee hiyo kitu isikie kwa mwingine, kupoeza familia is no joke. Huwa inambadilisha mwanaume completelyukiachana na yule mama aliyepigwa shaba akikimbia, kuna story ya jamaa mwimgine inasambaa-imeniumiza.
Kuna bwana mmoja, kazi yake ni mlinzi. Inaonekana bwana huyu aliondoka kwenda shift zake ya kazi tarehe 28/10 jioni. Amerudi 31/10. Amekutana na kitu ambacho hauwezi hata kumuombea adui yako. Amekuta mke wake mjamzito, na kijana wake mwenye ulemavu wa miguu wote wamepigwa shaba. Hawana uhai tena.
Watu wa mwanza. Hebu tusaidieni kupata taarifa zaidi za huyu bwana.
Aisee hiyo kitu isikie kwa mwingine, kupoeza familia is no joke. Huwa inambadilisha mwanaume completely
Sito shangaa after this raia wakawa wakatili zaidi
Hii inakufanya kuingiwa na Roho nyingine ambayo hujui imekutokea wapi... mungu ampe nguvu kwa kweli.Aisee, nakuelewa. Sasa huyu jamaa sijui yuko kwenye situation gani. Anawaza nini. Unaendeleaje na maisha baada ya kufanyiwa ukatili hivi?
Ni kumuombea tu kwakweliAisee, nakuelewa. Sasa huyu jamaa sijui yuko kwenye situation gani. Anawaza nini. Unaendeleaje na maisha baada ya kufanyiwa ukatili hivi?
Kwa mtazamo mbona ni kama kuna watu ama kundi lilikua na kisasi kifuani, walikua wakisubiri nafasi ya dhahabu siku moja itokee waweze kulipa? Ukiachana either amri ilitolewa lakini ni kama wameenda zaidi, na imekua kama kulipa KISASI. Embu tufikiri kwa kina, inawezekana hili jambo likawa limebeba mengi ndani yake.ukiachana na yule mama aliyepigwa shaba akikimbia, kuna story ya jamaa mwimgine inasambaa-imeniumiza.
Kuna bwana mmoja, kazi yake ni mlinzi. Inaonekana bwana huyu aliondoka kwenda shift zake ya kazi tarehe 28/10 jioni. Amerudi 31/10. Amekutana na kitu ambacho hauwezi hata kumuombea adui yako. Amekuta mke wake mjamzito, na kijana wake mwenye ulemavu wa miguu wote wamepigwa shaba. Hawana uhai tena.
Watu wa mwanza. Hebu tusaidieni kupata taarifa zaidi za huyu bwana.
Hiki ni kisasi cha wazanzibar cha 2001 wamelipa Nawaambia yaani kama walipania yaaniKwa mtazamo mbona ni kama kuna watu ama kundi lilikua na kisasi kifuani, walikua wakisubiri nafasi ya dhahabu siku moja itokee waweze kulipa? Ukiachana either amri ilitolewa lakini ni kama wameenda zaidi, na imekua kama kulipa KISASI. Embu tufikiri kwa kina, inawezekana hili jambo likawa limebeba mengi ndani yake.
Ni wazi kabisa kulikuwa na makusudi. Maana mama mjamzito na kijana mlemavu wamefika Vipi maandamano?Collateral damage wakati kuna taarifa za watu kufuatwa majumbani mwao na kumiminiwa risasi za moto.
Na nikwanini zisitumike rubber bullets?
We can channel all those inner demons into something useful, tatizo hakuna kiongozi, ila trust me, warriors wapo tayariHii inakufanya kuingiwa na Roho nyingine ambayo hujui imekutokea wapi... mungu ampe nguvu kwa kweli.
Surely.. nakubaliana na wewe.. natamani sana Hao wtawala wajifunze in a HARD WAY.. ila anyway Mungu wa mbinguni ameshuhudia haya..We can channel all those inner demons into something useful, tatizo hakuna kiongozi, ila trust me, warriors wapo tayari
Hii ya mjamzito nimeisikia huko nyamanoro..ukiachana na yule mama aliyepigwa shaba akikimbia, kuna story ya jamaa mwimgine inasambaa-imeniumiza.
Kuna bwana mmoja, kazi yake ni mlinzi. Inaonekana bwana huyu aliondoka kwenda shift zake ya kazi tarehe 28/10 jioni. Amerudi 31/10. Amekutana na kitu ambacho hauwezi hata kumuombea adui yako. Amekuta mke wake mjamzito, na kijana wake mwenye ulemavu wa miguu wote wamepigwa shaba. Hawana uhai tena.
Watu wa mwanza. Hebu tusaidieni kupata taarifa zaidi za huyu bwana.
ukiachana na yule mama aliyepigwa shaba akikimbia, kuna story ya jamaa mwimgine inasambaa-imeniumiza.
Kuna bwana mmoja, kazi yake ni mlinzi. Inaonekana bwana huyu aliondoka kwenda shift zake ya kazi tarehe 28/10 jioni. Amerudi 31/10. Amekutana na kitu ambacho hauwezi hata kumuombea adui yako. Amekuta mke wake mjamzito, na kijana wake mwenye ulemavu wa miguu wote wamepigwa shaba. Hawana uhai tena.
Watu wa mwanza. Hebu tusaidieni kupata taarifa zaidi za huyu bwana.
Kisasi. Hatakiwi kulipa kisasi kwa mwingine. Inatakiwa Mama Abdul akija Ziara kanda ya ziwa, jamaa aondoke na gobore analolitumia kwenye ulinzi kulinda na kumshindilia nalo Mama Abdul la tako ili naye utumbo utoke nje.Aisee, nakuelewa. Sasa huyu jamaa sijui yuko kwenye situation gani. Anawaza nini. Unaendeleaje na maisha baada ya kufanyiwa ukatili hivi?
Ni sahihi. Haikuwa issue ya maandamano tu. Mungu atusaidie.Hiki ni kisasi cha wazanzibar cha 2001 wamelipa Nawaambia yaani kama walipania yaani
Nna hakika hakuna wa kutoka Uganda wala Sudan wale ni wazenji tu wameletwa na wametumaliza ,huyu maza lengo lake limetimia kutulipizia