The Tan-talizer
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 163
- 67
Mimi kama admin:A S-key: wa NOLNIZ nawakaribisha wooote katika blog hiyo :welcome:
Ombi langu kwenu ni kwamba muwe huru kunitumia story yoyote ile yenye ukweli unayohitaji jamii iitambue na ukitaka jina lako pia tutaliweka na hii ni kwa sababu Jamii forum ni chanzo kikuuubwa sana cha habari kwangu.. :focus: ninaomba ushirikiano wenu 🙂A S-alert1: nolniz@yahoo.com) tujuzane kupitia hiyo:A S 101:.... kama ulikuwa hujui hii blog ndio ilofanikiwa kuwa 2012 TANZANIAN BEST NEWCOMER BLOG:first:
Ntashukuru sana tukisaidiana katika hilo:help:... Pamoja sana
Nimekuelewa kaka tajitahidi hivyo soon ili ibase kwenye isue moja...!! Nishauri kingine brother mapungufu yapo wapi tena pengine????Brother blog si kama forum kila kitu unapost nakushauri tafuta kitu kimoja kiwe kinaitambulisha blog yako mfano blog ya muziki.
wewe naona umemix siasa na mambo ya muziki humo humo
na wew umetoa maoni mmmhhhh..Bora wewe umedeclare interest kabisa kuliko watu wengine huamua tu kuweka link kumbe ni promo za blog zao..... ingawa title nayo...LoL...nilidhani kuna ubwabwa mahali...
Brother blog si kama forum kila kitu unapost nakushauri tafuta kitu kimoja kiwe kinaitambulisha blog yako mfano blog ya muziki.
wewe naona umemix siasa na mambo ya muziki humo humo
fanya mawili kati ya haya.
-Toa post zisiwe full (excerpts)
Yani ufanye mtu asome summary kidogo tu then kuwe na read more
-punguza namba ya post per page ziwe 5
Nimeongea hayo maana page zako ni nzito picha zina kb nyingi so kuload page 1 inatake time inaweza ikawaboa watu so jaribu kuchagua option moja kati ya hizo
Shukrani mkuuBora wewe umedeclare interest kabisa kuliko watu wengine huamua tu kuweka link kumbe ni promo za blog zao..... ingawa title nayo...LoL...nilidhani kuna ubwabwa mahali...
Nashukuru sana Good Guy tuendelee kuwa pamojaTs good! Nime i bookmark
naomba unielekeze jinsi ya kuweka read more katika blog..
:help: