Hii ni aina gani ya nyoka?

Uko sahihi kabisa. Ingekua koboko story ingekua ndefu, sababu ingebidi atuelezeze heka heka za kuua ilivyokua. Koboko ni kama jini tu, kukutana nae ni mkosi.
Kipind hicho wajeruman waliamin koboko nimizimu yakiafrika mana walikufa wengi nahuyu mfudu, kiukwel ninyoka adimu kukutana nae nibahati ama mkosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka wote wana sumu! Isipokuwa inatofautiana viwango vya ukali.
Wapo wenye sumu kali inayoua, na wengine wana sumu ya wastani ambayo mara nyingi ukiwa na mwili wenye afya haiui, ila itasumbua mwili.
Post namba 69 ameeleza vizuri.
HAKUNA NYOKA AMBAYE HANA SUMU!
 
 
Angalia vizuri walulivyomchakaza huyo nyoka.

Mede tu unaogopa hiyo siku ulipaa kabisa mama.[emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…