Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,685
grand millenial,
Naomba jina la hiyo dawa ya kupiga mazingira ya nyumbani kufukuza nyoka mkuu...
Naomba jina la hiyo dawa ya kupiga mazingira ya nyumbani kufukuza nyoka mkuu...
Mkuu umesoma ulichoandika? Na je ? Umeelewa nilichoandika? Nakushauri rudia kusoma post yangu kwa umakini bila kukurupuka .Huyo nyoka uliomtaja hapatikani morogoro... Wewe ni muongo wa kiwango cha SGR
HUYO NI BROWN HOUSE SNAKE
Uko sahihi kabisa. Ingekua koboko story ingekua ndefu, sababu ingebidi atuelezeze heka heka za kuua ilivyokua. Koboko ni kama jini tu, kukutana nae ni mkosi.Wee acha kutaja koboko kwenye nyizi zakijinga unafikiri koboko wangemuua kirahis hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipind hicho wajeruman waliamin koboko nimizimu yakiafrika mana walikufa wengi nahuyu mfudu, kiukwel ninyoka adimu kukutana nae nibahati ama mkosiUko sahihi kabisa. Ingekua koboko story ingekua ndefu, sababu ingebidi atuelezeze heka heka za kuua ilivyokua. Koboko ni kama jini tu, kukutana nae ni mkosi.
Nyoka wote wana sumu! Isipokuwa inatofautiana viwango vya ukali.
Wapo wenye sumu kali inayoua, na wengine wana sumu ya wastani ambayo mara nyingi ukiwa na mwili wenye afya haiui, ila itasumbua mwili.
Post namba 69 ameeleza vizuri.
HAKUNA NYOKA AMBAYE HANA SUMU UKIONDOA CHATU!

Hahaa, unahisi wamemtwanga sana wakimix na hasira za Corona.
Nawaogopa hawa wadudu aisee, Kuna siku nilikua na bimkubwa na ka lastborn ketu usiku usiku hivi tunatembea lahaula kuangaza mbele nyoka huyu hapa, nilitoka speed moja nikawaacha wakanikuta home ndani, Mama alinicheka sanaa![]()
Mkuu umeongea kwa uchungu sana