wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,983
- 4,134
Morogoro mjini wapi mkuu,sema kama upo mikese huko. Hao nyoka ndiyo wengi sehemu hizo.
Sent using iphone pro max
Sent using iphone pro max
Kwa nini mnawauwa kwani wameleta madhara gani kwenu ,acheni kuua viumbe wasio kuwa na madhara kwenu, hiyo ni ecology.Natamani iwe hivyo asiwe na sumu
Baby anaconda
Hivi unazingua tu au uko serious mkuu?Anaconda na nini? Anakosa chakula au mazingira mabaya? Unamfuga? Mlishe vizuri kama unamwona anaconda
Hapana si black mamba huyo mkuu huyo ni white bellied brown snake au kwa jina lingine white bellied rat snake huyu hata akung'ate vipi hakuna madhara.
.Acha kupotosha mkuu huyo ni "ptyas fusca" white bellied rat snake huwa hawana madhara .
Huyo nyoka uliomtaja hapatikani morogoro... Wewe ni muongo wa kiwango cha SGRAcha kupotosha mkuu huyo ni "ptyas fusca" white bellied rat snake huwa hawana madhara .
Sent using Jamii Forums mobile app

Nashangaa kwanini amemuua wakati hana madhara; siyo lazima uue kila nyokaHuku mbeya wanamwita mlalo na wanasema hana sumu.
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Bee kumbii imlalwe ye huyu mbona vaitigili bora akulume basi vimba palapandaHata sisi kikwetu tunamwita MLALWE,hana sumu kali,pia huwa haumi binadamu hovyo.
Hapana hajanigonga ila ni wengi maeneo haya nahofia hasa watoto
wana sumu ,ukitaka kujua angalia kwenye kichwa kama unaona kuna mashavu chini ya mdomo huyo ana sumu sio wa kumchezeaNatamani iwe hivyo asiwe na sumu