Hii ni aina gani ya nyoka?

Hii ni aina gani ya nyoka?

Siku itafika utakapomuona anaingia ndani mwako na una watoto wadogo halafu wewe umpishe kwenda kuwaita maliasili
Nyoka hadhuru binadamu kama hujamchokoza. Nibrafiki kwa binadamu kwani baadhi ya msosi wake ni panya. Siku nyingind msaidie asepe zake, la ukikamatwa utashitakiwa jwa uharibifu wa maliasili.
 
Hawa ni watamu sana..huwa tunawavua gamba. Tunakata vipande vidogo vidogo tunakaanga.watamu sana. Nmeshtuka nyie kumwacha tu hapo ataharibika maskini.

Sibaru,
 
Hata msisumbuke kuwauwa mkuu
Mnawaonea sana
Hawana shida hao wala sumu,huwa inasadikika kuwa wakikasirishwa ndio wanakuwa wakorofi..ila wanapemda sana joto haswa majumbani maeneo ya jikoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau punguzeni hasira za corona msimalizie kwa viumbe hivi.

Kumponda kichwa tu ilikuwa imetosha.
Hahaa, unahisi wamemtwanga sana wakimix na hasira za Corona.

Nawaogopa hawa wadudu aisee, Kuna siku nilikua na bimkubwa na ka lastborn ketu usiku usiku hivi tunatembea lahaula kuangaza mbele nyoka huyu hapa, nilitoka speed moja nikawaacha wakanikuta home ndani, Mama alinicheka sanaa😀😀
 
Mbona hao nyoka hawana madhara bro hao ni wapole sana usukumani wapo sana wanadai hawana shida kuna siku nilimuua mmoja wakati nampiga mzee mmoja akaniambia kuwa huwa hawana sumu hao na hawana madhara kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usukumani tunawaita"Shana au Ishana hawana shida lakini wamefanana sana na koboko kichwa kidogo na ni warefusana Kama alivyo koboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom