Hii ni aina gani ya kuku??

Ndege john huyo a. K. A bwana afya
 
JOGOO wa PAZI huyo angalia asije akakubeba na wewe
Kama wewe mhenga umenielewa
 
Huyo na bata mzinga dume
 
Itakuwa turkey πŸ¦ƒ, umenipa idea ngoja nianzishe turkey farming, nyama yao ikiwa smoked ni tamu sana πŸ˜‹
Bata mzinga hawana ukubwa wa kustaajabisha!
Akiwa kakomaa nyama yake yote haiwezi kuzidi kg 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…