Nimeona kwel jamaa lugha inasumbua,ila kwan kuna ulazima wa wote kujua kiingereza,hao wanaojua wametusaidia nn hadi sasa!tupende lugha yetu!
Kiingereza siyo lugha yetu ya kwanza. kukosea ni jamabo la kawaida. Hebu na nyie mnaojidai kumkosoa jaribuni kuandika kiingereza chenu tukione!
Yup! Amejikakamua saana!Me too, especially when things cotton fired in the interview, I think Marina hassan brothersugarcaned.
Kama anaonge na mgeni ambaye hajui kiswahili, kwanini asijitutumue kuongea kingereza hata kama ni broken? Angalia na situation aliyotumia kiingereza mkuukama sio lugha yetu kwanini tunaitumia?
Kwanini tunaamua kujidhalilisha?
Kuna umuhimu gani wa kuongea lugha usiyoilewa vizuri kisa ni lugha ya kigeni.
Mimi naona ana tofauti na Mbowe!
Ukimsikia Mbowe akiongea Kiingereza ni kama Marine tu, wala sio aibu ni kawaida tu
Kama anaonge na mgeni ambaye hajui kiswahili, kwanini asijitutumue kuongea kingereza hata kama ni broken? Angalia na situation aliyotumia kiingereza mkuu
Mimi naona ana tofauti na Mbowe!
Ukimsikia Mbowe akiongea Kiingereza ni kama Marine tu, wala sio aibu ni kawaida tu
Mkuu sio lazima kukijua kiingereza lakini sasa kwanini tunaendelea kuking'ang'ania na hatuchukui hatua kujifunza tukijue vizuri? Nionavyo mm kuna mambo mawili tunapaswa kuchagua. Moja tuachane nacho na tuanze kutumia wakalimani kama wajerumani, wachina, waarabu na wengineo. Au tuwe serious basi tuwekeze vizuri kwenye hii lugha ili tuondokane na hii aibu ya kila siku. It does not make sense mwandishi mwandamizi kama huyo jamaa kutojua kiingereza basic kabisa, infact imefika mahali hata mawaziri,rais n.k wakikivunja kiingereza inaonekana poa tu which is not ok kabisa.
huyo si nasikia anatumia masaburi?
i suggest kuanzia aliyetuma hii thread,tuanze kujadili hii post kwa kiingereza tu tuone nani anachapia. lets go!!!