Nilikuwa naangalia kipindi cha Jambo Tanzania, Marine Hassan alikuwa na wageni ambao mmoja wao katokea S Africa. Marine Hassan alikuwa akimuhoji kwa kiingereza ambacho ni aibu tupu!!! Kwa Mfano " Before you to coming here how many countries you are visited?" Pia wakati wa kumuaga, " Ok! Mr Sami you are welcome again there!". Hili ni jambo la aibu kwa mwandishi kama yeye. Ni bora angegoma kumuhoji bila kuwa na mkarimani, kwanza ndio angekipromoti kiswahili.
Nawasilisha