Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?
Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?
Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!
Uroho, wizi na ufisadi wa Viongozi wa CCM ndiyo umetufikisha hapa.
Rais anasahini mikataba 11 ya siri na Mchina, unategemea nini?
Tukiwachagua Tena Inabidi Tupimwe Akili
Mkuu mimi pia nikiwa Guangzhou CAN airport dreamliner ya Rwanda 787 inatangazwa na kupaa machozi yalinitoka sana.
Ivi sisi tz tumrmkosea nini mwenyez mungu???
laana ya nchi hii ilianza baada ya nyerere kuwatimua waisrael na kufunga ubalozi na israel taifa teule la Mungu,marekani na ujinga wake anawaheshimu sana waisrael anapata upako kupitia kwao au niseme anatembelea nyota yao,
Mtatafuta mchawi hamtompata
Watoto wako wakishindwa kukupima akili sasa , ukifa wajukuuu wako watafukua kaburi waangalie kichwa chako kilikuwa na mdudu wa rangi gani .Kijani au njano
Mapopoma ya ccm yakija hapa yatakushangaa kweli kwel na kukuona kama unapiga kelele tu hakuna wanachojali zaid ya matumbo yao basi
Tanzania tunatia aibu.
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?
Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?
Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!
**** wewe
Wewe mnywa viloba wa hapo manzese. Rwanda ndo uilinganishe na Tz? idadi ya watu , udogo wa nchi n.k that's why
Kiangalie kichwa chako vema....unaweza kitambua ndiyo **** yenyewe tena inavuja damu.....bulalifulukuta!