Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Same here, mm ckuwa mbali sana. Kenya tu ukitua pale jomo kenyatta utaona jinsi ndege za KQ zilivyojaa, mara ethiopian airline nayo ni kubwa sana. Ni pride ya raia ku fly back home na airline yenu. Ndio maana kwenda kenya hapo jirani tu 1 hr unalipa dola 400$ go alone.
Hivi air tanzania ingekuwa ina oparate I believe prices zingeshuka.
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!
We jamaa umevichukua vya kukaririshwa unakuja kuharisha na huku kwa watu wajuzi wa mambo, sasa ngoja nikusaidie ni hivi, NI NIA YA SERIKALI YAKO SIKIVU KUIFUFUA ATC ( KWA MUJIBU WA BAJETI ZOTE ZA SERIKALI NA KWENYE MAKABRASHA YAO YANAYOPIGWA NA VUMBI NA HATA ALISELEMA WAKO ANAENDELEA KULIAHIDI HILO) ILA KINACHOKWAMISHA KWA MUJIBU WAO NI PESA TU NA SI KAMA ULIVYOKARIRISHWA WEWE KWAMBA HAINA MPANGO WA KUMILIKI. DHAMIRA YA KUMILIKI WANAYO ILA WASEMAVYO WAO PESA NDO HAWANA NA NDO MANA SISI TUNAJIULIZA NCHI NDOGO KAMA RWANDA WANAWEZAJE HALAFU SISI TUSHINDWE ?????????? JIBU HOJA ACHA KUFANANISHA VISIVYOFANANA.
 
ukiacha nyerere hatujawahi kupata kiongozi tena walioko ni wezi tu kungekuwa kunauwezo wa kuazima kiongozi basi tungeazima rwanda japo kwa mwaka mmoja tu.

Hivi kwa nini Watanzania wanamtenga Nyerere kwenye matatizo ya taifa letu wakati yeye ndie mwasisi wa kila lililo baya hapa Tanzania? Katiba mbaya kaiweka yeye baada ya kuichakachua mwaka 1962 na kuweka vipengele vya udikteta ambavyo vinatunyima uhuru wa kidemocrasia mpaka leo. Uchumi wa nchi ulisambaratika mikononi mwake hadi wananchi wakawa wanakula unga wa njano ambao ulikuwa ni unga wa msaada kutoka Marekani uliokuwa mahsusi kwa ajili ya matumizi ya farasi. Uchakachuaji wote wa matokeo ya upigaji kura ulisimamiwa na yeye wakati wa uhai wake, mtaji ambao CCM wanauendeleza hadi leo.

Mpaka Watanzania mtakapotambua na kuhubiri kwamba viongozi wote wa CCM tangu enzi ya Nyerere walikuwa wasanii na wababaishaji, hamtaweza kuiondoa CCM madarakani.
 
Kwanza poleni na misiba mikubwa iliyofuatana huko Nyumbani Tanzania....Mola azilaze roho za marehemu pahala panapostahili...Ameen

Nipo Dubai kwa sasa na natarajia kuwa huku kwa mpaka mwezi ujao...hii ina maanisha kwa bahati nzuri ama mbaya sitaweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao....sijutii sana kutokua nyumbani kwani kilichonileta hapa nacho ni muhimu sana katika harakati zangu za maisha....watoto wa mujini wanasema NASAKA DOO!!

MAIN TOPIC

Nilitoka Kigali jana kuja hapa Dubai kutumia Shirika La Ndege la Rwanda yaani Rwanda Air....wakati wote wa safari yangu nilikua na maswali mengi kichwani ni wapi Tanzania kama nchi tuliteleza? ni nani ametulaani? Iweje nchi ndogo kama Rwanda ambayo mwaka 1994 ilisambaratika kabisa kufuatia mauji wa Kimbari iweze kumiliki ndege zaidi ya 6 aina ya Boeing 737 na Boeing 787 Dreamliner?? Ni kitu gani kimewafanya Wanyarwanda kuweza kupiga hatua kubwa ndani ya kipindi kifupi ukilinganisha na Taifa letu lenye umri zaidi ya Miaka 50?

Maswali hayo yalinisukuma ku google ili kujua zaidi kuhusu Rwanda Air...huwezi amini Shirika Hilo La Ndege linafanya safari katika miji mikuu mbali mbali Africa ikiwemo Johannesburg, Entebbe, Lusaka, Kilimanjaro, Lagos na Mombasa.

Inabidi kama Taifa tukae na tujiulize wapi tulijikwaa ili tuweze kurekebisha maana hii ni aibu kubwa sana taifa dogo kama Rwanda kuwa na National Carier yake wakati sisi tukishindana na CHOPA ZA KICHINA....

Wacha nijiandae kwenda Burj Khalifa baadae usiku....watu na dunia yao...

Mkuu jana nimeona kipeperushi chao!!! From KIA to Dubai ni dola 299!!! Nikajiuliza hii ndege ni ya private au ni ya wanyarwanda??? Lakin nikasema mbona sisi hatuna???? Kumbuka
1.kenya wana kenya airways
2. Ethiopia nchi iliyokuwa kwenye machafuko na vita wana ETHIOPIA AIRLINES
3. NA JANA NIKAONA KIPEPERUSHI CHA RWANDA AIRWAYS WAO WANAITA "RWANDAIR"

Kipeperush kinasema "what u see is what you pay" kweli kweli kweli sisi tunafanya nini???? (Ngoja nikipata muda nitatuma picha yake watu waone wasijezani mazingaumbwe)!!
 
Labda mauaji ya kimbari waliondoka hata wale wabaya na hukumu pia ziliwafanya wabaki wasafi tu. Kila baya lina uzuri wake.
 
Mkuu jana nimeona kipeperushi chao!!! From KIA to Dubai ni dola 299!!! Nikajiuliza hii ndege ni ya private au ni ya wanyarwanda??? Lakin nikasema mbona sisi hatuna???? Kumbuka
1.kenya wana kenya airways
2. Ethiopia nchi iliyokuwa kwenye machafuko na vita wana ETHIOPIA AIRLINES
3. NA JANA NIKAONA KIPEPERUSHI CHA RWANDA AIRWAYS WAO WANAITA "RWANDAIR"

Kipeperush kinasema "what u see is what you pay" kweli kweli kweli sisi tunafanya nini???? (Ngoja nikipata muda nitatuma picha yake watu waone wasijezani mazingaumbwe)!!

Mkuu upo sahihi unachosema kwa ss wana route ya Dar via KIA Rwanda South Africa kwa bei hiyo uliyosema Return ticket na muda mwingine inakua pungufu ya hapo..
 
We jamaa umevichukua vya kukaririshwa unakuja kuharisha na huku kwa watu wajuzi wa mambo, sasa ngoja nikusaidie ni hivi, NI NIA YA SERIKALI YAKO SIKIVU KUIFUFUA ATC ( KWA MUJIBU WA BAJETI ZOTE ZA SERIKALI NA KWENYE MAKABRASHA YAO YANAYOPIGWA NA VUMBI NA HATA ALISELEMA WAKO ANAENDELEA KULIAHIDI HILO) ILA KINACHOKWAMISHA KWA MUJIBU WAO NI PESA TU NA SI KAMA ULIVYOKARIRISHWA WEWE KWAMBA HAINA MPANGO WA KUMILIKI. DHAMIRA YA KUMILIKI WANAYO ILA WASEMAVYO WAO PESA NDO HAWANA NA NDO MANA SISI TUNAJIULIZA NCHI NDOGO KAMA RWANDA WANAWEZAJE HALAFU SISI TUSHINDWE ?????????? JIBU HOJA ACHA KUFANANISHA VISIVYOFANANA.

Na ndiyo maana kama kuna kitu naweza kuwashauri na kuachana na huwo mpango wa kutaka kuifufua Air Tanzania, ni bora hizo fedha wawekeze kwenye Elimu na mambo mengine!

Kununua ndege au kuwa shirika la ndege kama Rwanda wala siyo ishu bali ni swala la Vipaumbele tu, kila nchi ina vipaumbele vyake inawezekana Rwanda wameona ni bora wanunue ndege klk jambo lingine swali la kujiuliza hapa ni Je hili shirika la ndege la Rwanda linafanya kazi kwa faida? Na je hizo ndege zimenunuliwa/kukodishwa kwa fedha gani? na Zitarudishwaje?

Kama mleta mada angekuja hapa akasema kwamba Rwandair ni kampuni inayojitegemea imepata faida ya asilimia kadhaa hapo ningemuelewa lkn kuwa tu shirika la ndege lililoandikwa jina la nchi hata kama ndege kila siku inapata hasara lkn Serikali inachukuwa fedha kwingine kulipia gharama za uendeshaji hiyo siyo akili, na ndiyo maana nchi huwa zinaacha mashirika yanakufa au yanauzwa!

Hivyo mleta mada aje record inayoonyesha kama kweli hilo shirika linapata faida au linaendeshwa na ruzuku kutoka Serikalini? Na kama linaendeshwa na ruzuku basi ni lazima serikali ya Rwanda inachukuwa fedha sehemu nyingine ambako wao wameona siyo muhimu ikilinganishwa na kuwa na shirika lenye kubeba jina la nchi ingawaje linafanya kazi kwa hasara!
 
Mkuu mimi pia nikiwa Guangzhou CAN airport dreamliner ya Rwanda 787 inatangazwa na kupaa machozi yalinitoka sana.

Ivi sisi tz tumrmkosea nini mwenyez mungu???

Mi naona kagame apewe tu nchi aendelee kuongoza maana anafanya vitu ambavyo kwetu ni misamiati!!!
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!

Elimu, Elimu Elimu yani watu kama nyie hata kuelewa hujaelewa unaanza kujibu kiazi kweli wew
 
Mkuu mimi pia nikiwa Guangzhou CAN airport dreamliner ya Rwanda 787 inatangazwa na kupaa machozi yalinitoka sana.

Ivi sisi tz tumrmkosea nini mwenyez mungu???
wengine mnatuongopea.Saa hizi ujalia wala.Najinsi ninavyowajua wabongo msivyojitambua(...333322...)
 
Na ndiyo maana kama kuna kitu naweza kuwashauri na kuachana na huwo mpango wa kutaka kuifufua Air Tanzania, ni bora hizo fedha wawekeze kwenye Elimu na mambo mengine!

Kununua ndege au kuwa shirika la ndege kama Rwanda wala siyo ishu bali ni swala la Vipaumbele tu, kila nchi ina vipaumbele vyake inawezekana Rwanda wameona ni bora wanunue ndege klk jambo lingine swali la kujiuliza hapa ni Je hili shirika la ndege la Rwanda linafanya kazi kwa faida? Na je hizo ndege zimenunuliwa/kukodishwa kwa fedha gani? na Zitarudishwaje?

Kama mleta mada angekuja hapa akasema kwamba Rwandair ni kampuni inayojitegemea imepata faida ya asilimia kadhaa hapo ningemuelewa lkn kuwa tu shirika la ndege lililoandikwa jina la nchi hata kama ndege kila siku inapata hasara lkn Serikali inachukuwa fedha kwingine kulipia gharama za uendeshaji hiyo siyo akili, na ndiyo maana nchi huwa zinaacha mashirika yanakufa au yanauzwa!

Hivyo mleta mada aje record inayoonyesha kama kweli hilo shirika linapata faida au linaendeshwa na ruzuku kutoka Serikalini? Na kama linaendeshwa na ruzuku basi ni lazima serikali ya Rwanda inachukuwa fedha sehemu nyingine ambako wao wameona siyo muhimu ikilinganishwa na kuwa na shirika lenye kubeba jina la nchi ingawaje linafanya kazi kwa hasara!
barbosa kwa majibu yako haya inadhihirisha wazi kuwa wewe ni kiazi mbatata kabisa
 
Watanzania mnakaangwa na dhulma iliyofanywa na serikali yenu kipindi cha nyuma kunyanganya waislam na wahindi majumba yao mkayafanya majumba ya Msajili.
Hicho ndicho kinachowatafuna
 
Back
Top Bottom