Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Hivi umemuelewa mleta mada? Wapi amekwambia hatuna ndege ya Serikali?

Nimemuelewa sana! Anaongelea kuwa na shirika la ndege la Serikali kama Air TanZania! Na ndiyo maana nikamjibu kiuchumi haileti tofauti kubwa sana cha muhimu kuna usafiri wa ndege wa kuaminika kati ya nchi A na B!
 
Wewe nadhani ukapimwe akili hauko sawa. Nimejaribu kufuatilia comments zako kwenye posts nyingi unaongea pumba tu. kweli Tanzania tuna njia ndefu, kama viongozi wetu wana mawazo kama yako. Kwanza nikusahihishe: Switzerland siyo nchi tajiri kuliko zote duniani. Switzerland ni nchi ya 9 kwa utajiri, ya kwanza ikiwa Qatar.

Kwenye swala la Utajiri wa Uswisi sina haja ya kupoteza muda hapo kubishana, twende kwenye mada yenyewe ni wapi nilipoandika pumba?
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!

Malofa na wapumbafu ni wengi. Nchi inahitaji maombi.
 
laana ya nchi hii ilianza baada ya nyerere kuwatimua waisrael na kufunga ubalozi na israel taifa teule la Mungu,marekani na ujinga wake anawaheshimu sana waisrael anapata upako kupitia kwao au niseme anatembelea nyota yao,

kweli kabisa mkuu ila hilo jambo ni watu wachache sana wanalijua
 
Wewe nadhani ukapimwe akili hauko sawa. Nimejaribu kufuatilia comments zako kwenye posts nyingi unaongea pumba tu. kweli Tanzania tuna njia ndefu, kama viongozi wetu wana mawazo kama yako. Kwanza nikusahihishe: Switzerland siyo nchi tajiri kuliko zote duniani. Switzerland ni nchi ya 9 kwa utajiri, ya kwanza ikiwa Qatar.

mkuu achana naye kuna watu bado wako gizani so they can't think out of box...just ignore them idiotsa
 
Uroho, wizi na ufisadi wa Viongozi wa CCM ndiyo umetufikisha hapa.

Rais anasahini mikataba 11 ya siri na Mchina, unategemea nini?
 
Malofa na wapumbafu ni wengi. Nchi inahitaji maombi.

utumwa wa kifikra...hapa Dubai hakuna hao waisraeli na nichokiona hapa ni mapinduzi ya kimaendeleo...tutoe fikra hizo za kitumwa
 
Vipi Mwamnyange mmeonana?

Maana tuliambiwa kwamba anapumzika hapo Dubai.
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!

We jamaa kiboko
 
Na lowasa wa ukawa alikuwemo, au yeye keshatubu zambi zake kama mbowe anavyowaambia nyumbu wake!

Mtajua kama ni nyumbu au la watakapokupatia rais wa jamhuri mh Lowasa.Usiseme nyumbu sema jeshi kubwa.karibu tusherehekee ushindi pamoja.
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!
Mkuu una level gani ya elimu?
 
Mkuu mimi pia nikiwa Guangzhou CAN airport dreamliner ya Rwanda 787 inatangazwa na kupaa machozi yalinitoka sana.

Ivi sisi tz tumrmkosea nini mwenyez mungu???
 
Ngoja kwanza tuchague viongozi. Siku za "Ndiyoooooooo" huko bungeni tuziweke kando. Tuungane tuchague viongozi. Tanzania tumezidiwa usanii. Tunahitaji watu wenye uzalendo wa kweli kwa hii nchi.
 
Mkuu una level gani ya elimu?

Hayo ni mambo binafsi sikufahamu na sikujui hivyo siwezi kukwambia kama unapenda sema unachotaka kufahamu kuhusiana na nilichoandika nitakujibu kinyume na hapo, hapa siyo mahala pale!
 
Asante sana.
 
Back
Top Bottom