Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

hizo methali zenu kila mahali ndio maana hampigi hatua za maendeleo
 
Huyu jamaa ana uwezo mdogo sana wa kufikiria ..jarubu kuchambua mambo na si kuchanganua!!.. BARBAROSA
 
Nchi itaendelea vipi ikiwa waliopewa dhamana ndio hao wanaopiga dili za kusomba pesa za wananchi? Ngoja watu wapige kelele hadi kieleweke.
 
Na bado wachumia tumbo utawasikia wakisema chagua fisiem

HAPA KAZI TU. Umeona picha za uokoaji wa Fulikunjomb? Kalazwa kwenye machela ya miti! Umeona jumba lake na gari lake na watoto na mke? Kifo hakiangalii una pesa ngapi kikitokea sote tuko sawa tu! Kungekuwa na better tools naamini hawa watu wasingekufa
 
laana ya nchi hii ilianza baada ya nyerere kuwatimua waisrael na kufunga ubalozi na israel taifa teule la Mungu,marekani na ujinga wake anawaheshimu sana waisrael anapata upako kupitia kwao au niseme anatembelea nyota yao,

Kipindi cha nyerere ?sina hamu nacho alibana rasilimali sawa ila maisha yalikuwa tight sana
 
Na bado wachumia tumbo utawasikia wakisema chagua fisiem

HAPA KAZI TU. Umeona picha za uokoaji wa Fulikunjomb? Kalazwa kwenye machela ya miti! Umeona jumba lake na gari lake na watoto na mke? Kifo hakiangalii una pesa ngapi kikitokea sote tuko sawa tu! Kungekuwa na better tools naamini hawa watu wasingekufa
 
Wewe mnywa viloba wa hapo manzese. Rwanda ndo uilinganishe na Tz? idadi ya watu , udogo wa nchi n.k that's why

Nadhani wewe utakua umechanganya na sigara kubwa,sasa kama ni wachache inakuaje waweze kuwa na pesa sisi tuliowengi tukose ndege?
 
..wabongo watu wa vitu vidogo.....pale ambapo viongozi wenu wanajivuna kupanda ndege za wenzao kwenda nje kila kukicha wanaona fahari....utamsikia kiongozi wa kibongo anang'ang'ana kupanda first class ama business class kwenye emirates...wakati nchi yake hata ndege ya kwenda mkoani kwake hakuna....ni aibu...

....mnapokuwa na watawala ambao kwa miaka 10 wanalialia na barabara zisizokidhi viwango mnategemea nini??...

....mnapokuwa na watawala ambao wakijenga mitaro wanaiita fly overs mnategemea nini???

....mnapokuwa na watawala ambao wanaagiza mitumba hata ya meli feki eti kuwazuga kuondoa tatizo la usafiri.....unadhani lini watafikiria kuwa na dreamliners???

....mnapokuwa na watawala wanaojivuna kununua mabehewa feki kwa bei mbaya mnafikiri lini watafikiria kuwanunulia dreamliners??

....mnapokuwa na watawala wanaojivuna kupanda ma V8 ya bei mbaya sawa na vituo kadhaa vya afya mnafikiri lini watafikiria kuwanunulia dreamliners???

...mnapokuwa na watawala wanaojivunia kuongezeka kwa magari ya mitumba dar mnafikiri lini watakumbuka kuwa na dreamliners???


...na sasa sasa wanajivuna kutumia chopa feki kwenye kampeni za uchaguzi...na zimeanza kuwachinja.....


....taifa hili ni aibu...watawala hawana maono...na wamejaa ubinafsi....
 
Kikwete hata kumuona kwenye tv inatia kinyaa.mtu anatumia trillion nne kwa safari bila haya wala aibu alafu anasimama anasema uchumi umekuwa nchi haina ndege ujinga mtupu.
 
mpango ni kudumaza miundombinu ya usafiri\ndege,reli na bandari..

na vyama vya ushirika vya mazao..

Usiulize kwa nini!
 
Wewe nadhani ukapimwe akili hauko sawa. Nimejaribu kufuatilia comments zako kwenye posts nyingi unaongea pumba tu. kweli Tanzania tuna njia ndefu, kama viongozi wetu wana mawazo kama yako. Kwanza nikusahihishe: Switzerland siyo nchi tajiri kuliko zote duniani. Switzerland ni nchi ya 9 kwa utajiri, ya kwanza ikiwa Qatar.

Bora hata umemuona huyo jamaa, yaani huyu jamaa ni shida kweli, huwa anatoa vitisho kibao humu jamvini, nina hakikia kabisa ni kiongozi kwenye hii serekali maana viongozi wengi wa nchi hii ndio hawana uwezo lakini ni mabingwa wa kuficha madhaifu yao kwa kujificha nyuma ya dola. Ni bora tupige kura tulete mabadiliko wangalau yatapunguza hawa watu wanye uwezo duni lakini wako madarakani.
 
Sasa wewe umekimbia uchaguzi halafu bado unatafuta mchawi? Shame on you guy, bora ungekaa kimya tu kiongozi! Majitu yenyewe hatuwajibiki tunabaki kulalama tu, ni ushenzi kuendelea kutafuta mchawi wakati tunamjua "tafakari na chukua hatua". Eti utasikia hivi ilikuwaje tukawarudisha tena madarakani hawa? Wakati yeye kipindi cha kura akikuwa amekimbia!
 
mpango ni kudumaza miundombinu ya usafiri\ndege,reli na bandari..

na vyama vya ushirika vya mazao..

Usiulize kwa nini!

Mkuu upo sahihi kabisa haiwezekani watu wakodi ndege ulaya waje walipe na kodi hapa kwetu ndege zao zifanye vizuri sisi tukikodi hata mbili na kodi kulipa iwe magumashi maana ni ya serikali utasikia wamepata HASARA. Madhara ni makubwa sana tunayopata sema ni ngumu kuyaona kwa wakati huu wenzetu wana Ndege za Mizigo mikubwa na Helkopta za Ukweli sio hizo hali ya hewa tuu ikibadilika kidogo inaangusha Helkopta tena za kukodi so pain ? Umasikin wa kufikiri unatuua..
 
laana ya nchi hii ilianza baada ya nyerere kuwatimua waisrael na kufunga ubalozi na israel taifa teule la Mungu,marekani na ujinga wake anawaheshimu sana waisrael anapata upako kupitia kwao au niseme anatembelea nyota yao,

mkuu Ni kweli kabisa kwa hili la Israel kwa maoni yangu makosa yalifanyika kuwafukuza waisraeli ila nasikia balozi wa Israel nchini Tanzania makazi yake yapo Nairobi sasa sijui ndiyo huyo huyo anawakilisha Israel nchini kenya na Tanzania?

Mataifa makubwa yote duniani wanamuheshimu na kuwa na urafiki na Israel. USA,Russia,France,UK,china,Japan,Germany,eu,Brazil,Canada ,Egypt,sa ,Australia,turkey,etc
Tanzania ibadilike.
 
Aliyeturoga ni CCM

Yeah ccm na watu wake wamechangia sana sisi kufika hapa, ccm ambayo watu ni kama mwapachu, sumaye, mkapa, kikwete, lowassa, kingunge na wengine wengi. Ajabu ya watanzania Leo hii wanawaona watu wengine ni tunu baada ya kuchefuata. Kama tuhitaji taswira mpya ya Tanzania basi ACT ndio chama chenye mlengo tofauti na ccm
 
na huyu wa kwetu tuwaazime wakae nae hata miezi mitatu tu

Duuh mkuu huyu akikaa hata mwezi mmoja si hiyo ndege utaskia kapewa kigogo flani mara haina mafuta mara vioo vimeharibika mtu kapewa tenda ya kuvileta!! mi nadhani wasijejaribu hata kidogo kumchukua huyu wetu!!
 
Back
Top Bottom