Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

Kwa kuwa hii inayowatafuna ni machozi ya wanyonge ambao wengine walipoteza maisha kwa kupata presha basi hata waje wazungu nchi hiiii haitasaidia
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!

Watoto wako wakishindwa kukupima akili sasa , ukifa wajukuuu wako watafukua kaburi waangalie kichwa chako kilikuwa na mdudu wa rangi gani .Kijani au njano
 
Viongozi wetu , wana fikiria ya kula leo tu ,wala hatujalongwa na mtu.
 
Barbarosa acha kutetea ujinga ndg...hivi mtaendelea kutetea mauvo ua CCM mpaka lini...kiukweli RWANDA imetupita kiuchumi.....Na hii yote kwsbb ya watu kama nyinyi...na chama chenu cha CCM....Utajiri wA nchi hii kutoka kwa MUNGU...huwezi compare na uchumi tulionao sasa TZ.......UKWELI SISI WANANCHI CCM TUMEICHOKA ....!!???
 
Kwanza poleni na misiba mikubwa iliyofuatana huko Nyumbani Tanzania....Mola azilaze roho za marehemu pahala panapostahili...Ameen

Nipo Dubai kwa sasa na natarajia kuwa huku kwa mpaka mwezi ujao...hii ina maanisha kwa bahati nzuri ama mbaya sitaweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao....sijutii sana kutokua nyumbani kwani kilichonileta hapa nacho ni muhimu sana katika harakati zangu za maisha....watoto wa mujini wanasema NASAKA DOO!!

MAIN TOPIC

Nilitoka Kigali jana kuja hapa Dubai kutumia Shirika La Ndege la Rwanda yaani Rwanda Air....wakati wote wa safari yangu nilikua na maswali mengi kichwani ni wapi Tanzania kama nchi tuliteleza? ni nani ametulaani? Iweje nchi ndogo kama Rwanda ambayo mwaka 1994 ilisambaratika kabisa kufuatia mauji wa Kimbari iweze kumiliki ndege zaidi ya 6 aina ya Boeing 737 na Boeing 787 Dreamliner?? Ni kitu gani kimewafanya Wanyarwanda kuweza kupiga hatua kubwa ndani ya kipindi kifupi ukilinganisha na Taifa letu lenye umri zaidi ya Miaka 50?

Maswali hayo yalinisukuma ku google ili kujua zaidi kuhusu Rwanda Air...huwezi amini Shirika Hilo La Ndege linafanya safari katika miji mikuu mbali mbali Africa ikiwemo Johannesburg, Entebbe, Lusaka, Kilimanjaro, Lagos na Mombasa.

Inabidi kama Taifa tukae na tujiulize wapi tulijikwaa ili tuweze kurekebisha maana hii ni aibu kubwa sana taifa dogo kama Rwanda kuwa na National Carier yake wakati sisi tukishindana na CHOPA ZA KICHINA....

Wacha nijiandae kwenda Burj Khalifa baadae usiku....watu na dunia yao...

tumejlaaniwa kwasabab ya kukimbiza mwege
 
Tena ukiangalia rwanda hawana rasilimali kama Tanzania, ila kikwete anaongea kwa ujasiri eti pato la taifa limekuwa. Yaani imefikia hata kumuona kwenye tv watu wanaona wanapoteza muda tu.
 
Mapopoma ya ccm yakija hapa yatakushangaa kweli kwel na kukuona kama unapiga kelele tu hakuna wanachojali zaid ya matumbo yao basi
 
Acha ujinga kwani umeshindwa kusafiri? Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali?
Watu kama ninyi ndiyo hamfai kuwa viongozi kwa maana mna akili zisizoona mbali, hapo ningekuelewa kama ungesema kwamba umeshindwa kufika Dubai ilikubidi usafiri mpaka Kigali ndiyo uweze kupata ndege ya kwenda Dubai, lkn kama unaweza kusafiri ktk TZ mpaka Dubai kila siku tena mara mbili kwa siku kuna ndege tatizo liko wapi?

Mbona kuna nchi nyingi tu hazina ndege za Serikali? Marekani haina Kampuni ya ndege ya Serikali zote ni za watu binafsi
, Nigeria haina shirika la ndege la serikali, nchi ya Uswisi hii ni nchi tajiri klk zote Duniani haina ndege ya Serikali (National airline) Swiss air ilifilisika ikanunuliwa na Lufthansa ya Ujerumani na hivi leo inamilikiwa na Ujerumani sasa kwanini kwetu iwe ishu?

Cha muhimu hapa kuna usafiri wa kuaminika unaounganisha TZ na Dunia? Hilo ndilo muhimu!

Duh! Hii ni hatari
 
Wewe nadhani ukapimwe akili hauko sawa. Nimejaribu kufuatilia comments zako kwenye posts nyingi unaongea pumba tu. kweli Tanzania tuna njia ndefu, kama viongozi wetu wana mawazo kama yako. Kwanza nikusahihishe: Switzerland siyo nchi tajiri kuliko zote duniani. Switzerland ni nchi ya 9 kwa utajiri, ya kwanza ikiwa Qatar.

Kweli mkuu. Nimesoma hayo aliyoandika ni pumber sijawahi ona. Hatari ati!
 
Elimu, Elimu Elimu yani watu kama nyie hata kuelewa hujaelewa unaanza kujibu kiazi kweli wew

Mkuu usidhani hana elimu huyu jamaa namfahamu vizuri ana PHD na hapo ndo ujue elimu yetu ni bure kabisa ndo maana mr.EDO amekazania elimu elimu elimu
 
Mkuu mimi pia nikiwa Guangzhou CAN airport dreamliner ya Rwanda 787 inatangazwa na kupaa machozi yalinitoka sana.

Ivi sisi tz tumrmkosea nini mwenyez mungu???
RwandAir hawana dreamliner..Africa wenye dreamliner ni Kenya Airways na Ethiopia peke yake.
 
Back
Top Bottom