Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23]amuulize wkt anafanyajee??
 
hili jibu ninaliafiki, naomba utulize kichwa, ongea naye, na usiishie tu kuongea naye bali umwite na huyo mhusika myamalize, haina haja kumwacha kwani wanawake karibu wote wanafanana tu
Naunga mkono hoja.. Sis wenyew tunavumilia mengi mnooo lkn ndoa haivunjiki
Naamin akimkanya sidhan kama atarudia
Kibinadamu ni ngumu lkn Mungu ampe roho tu ya kusamehe
 
Hongera kwa roho ya kusamehe ..naamin sahv maisha yenu safi na amejirekebisha
 
Kama alimuoa bikira labda,.
Natoa utabiri, u jobless au single maza anayeishi wa wazazi wake maana wanawake wa hivi kwakushinda kwenye mitandao hamjambo..!

Badae eti unatafuta mume aliye serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natoa utabiri, u jobless au single maza anayeishi wa wazazi wake maana wanawake wa hivi kwakushinda kwenye mitandao hamjambo..!

Badae eti unatafuta mume aliye serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakuelewa kabisaaa
 
Kiongozi kuna mambo ya kuvumilia na kuna ya kutoyavumilia.
Muonyeshe mkeo ulichokikuta ktk simu yake, wajulishe wazazi wake na wako (kujivua lawama), muonyeshe/mtumie jamaa hiyo kitu na umshukuru kwa kukuvurugia familia yako usimpe kitisho chochote, fanya juu chini kama jamaa ana wazazi wajue.(kisaikolojia itawavuruga familia nzima)
Tafutia wanao shule boarding au njia nzuri ya kuishi nao kisha bila matusi, kipigo au ugomvi wa aina yoyote mwambie mwanamke akahangaikie maisha yake anapoona panamfaa.
Utateseka kwa muda ila kumbuka kila jambo lina mwisho.
Huyu mwanamke anaweza kukuletea maradhi ndani mkawaacha watoto yatima kisa umalaya tu wa mtu mmoja. Bora nusu shari kuliko shari kamili. Elekeza nguvu zako kutafuta maisha ya wanao wanawake wana ushetani ndani yao unaweza kukugharimu pasipo sababu.
 
So sad...kama n mm mkuu yaan hapo talaka ataikuta nyumban yy atafata na mizigo
 
Umemaliza yote aisee
 
Acha nae huyo maana mwanamke akishachepuka ujue wewe si wa maana tena kwake, hata wakati mnado tendo la ndoa anakuenjoy tu kwa kuwa wao tendo la ndoa ni upendo hivyo upendo upo kwa huyo jamaa mpya.

Hata maandiko yanakulinda katika hilo
👇
Mathayo 19
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…