Hii ngoma ya The Mafik - Wadudi bonge moja la wimbo

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,440
5,066
Mr pipa sijawahi rudia nyimbo moja Mara 5 Mimi nikipakua nyimbo nasikilizaga mara mbili ya tatu nafuta

ila huu mkwaju wa hawa jamaa mpaka sasa nimei play Mara 78

Asee hii bonge moja la pini popote mlipo the mafik kwa ngoma hiyi kama hamjatoa video njoo pm nusu ya pesa ya shotting natoa Mimi Mr pipa.

IMG_20240520_195248_930.jpg
 
Back
Top Bottom