Hivi kiwatengu ile kitu imeishia wapi aise
Hakuna wa kuliendeleza au mods waliona litaleta ugomvi aise ladydoctor kabaki na taji mpaka leo
Acheni huu unafiki wenu. Siku ile Lady doctor ameshinda mkashindwa hata kumpongeza baadala yake mkaanzisha uzi wa kulalamika. Mtu ambaye alikua haungi mkono kundi letu wewe Mamndenyi na shansarie mlikua mnamjengea chuki hata salamu hampokei. Hivi kwanini kama kweli unataka shindano lirudi, kwanini hutaki aliyekua mgombe wako shansarie agombee kama kweli una nia njema?. Acheni mambo yenu.
Haya mambo fanyeni lakini nisione mnanisumbua kwenye pm eti mnaomba kura. Watu mnakosa uti hata mnashindwa kutambua hii ni michezo kama michezo mingine. Jana mnatutukana halafu leo eti yaliopita sindwele nani kasema?. Nyie ilibidi muombe msamaha kwa kueneza chuki dhidi ya wale wasio waunga mkono baada ya hapo ndo tuendelee na mambo mengine. Mpasuko mliousababisha mnauona mdogo hadi leo uje na mambo yale yale? kwa kipi kizuri mlofanya uchaguzi ulioisha?
Remmy aliposhinda mbona watu tuliendelea kuelewana, Madame B aliposhinda mbona tulizidi kuwa poa? Charming lady aliposhinda mbona tuligonga kinywaji? Kwanini Lady doctor kishinda iwe nongwa? Au unafikiri shansarie angeshinda kwa kubebwa? zile kura zilikua ni Electronic voting usingeweza kuiba so malalamiko yenu hayakua na mashiko. Hivi ule uzi wa kupiga kura mliuweka wapi?. Mia

Mambo poa Remmy, inakuaje? Nawaambia hawa viumbe kwamba haya mambo ya umiss sisi tulikua tunayachukulia kama burudani. Wape somo kidogo Remmy maanake wewe ndo Miss wa kwanza humu chit chat hivi ulishinda kwa kura ngapi? hahahahaaaa...!! Tulikua wachache kipindi hicho. Nimekumiss sana, Poleni kwa uchaguzi japo kura hazikutosha. miaMia
Umeniita huku
Mi mgeni sikuhizi
Mambo vipi lakini?
Watu wamempinga mshindi?
kiwatengu , 24hrs ndo mimi mkuu,hiyo ngoma ilikuwa nzito tulikesha unakuta mpaka unawafuata wale wa jukwaa
la siasa unamwomba mtu ampigie kura mshiriki wako yaani anakupa bonge la matusi,ila ushindani ulikuwa wa kutoa jasho.
yangu macho.. ila kwa uhasama mnaotaka kuuendeleza sidhani kama mta/tutajenga.. mkuu figganigga punguza hasira, kiwatengu ameshakiri ingawa namshauri asimzuie shansarie, [MENTION=219898]mamndenyi kututhibitishia kutokupiga kura ni ishara mbaya... yaliyopita si ndweleeee... wengi tulikuwa nje na jf bt kama kulikuwa na mema yaliyoingiliwa na mabaya ujanja sio kuruhusu ubaya ushinde... angalieni makosa yalipofanyika tu/mrekebishe tu/mpige hatua mbele...
senki yu...
mkuu nimekusoma..
sema kuna swala kubwa hapa figganigga hajalisoma vyema,
ile kitu ilihama kabisa kwenye level ya burudani hadi kwenye deep love..
acha kabisa
kwa sasa ikirudi naamini kabisa itakuwa poa sana ..
muhimu vigezo na masharti yawe wazi kabisa!!
Na siku izi warembo kibao humu..
Mkuu mi sina tatizo but hii ishu uadui wake unakuja pale unapokuwa na marafiki wengi humu halafu wote wanataka uwapigie kampani,sasa ukiwa upande flani lazima uwe vs na ule upande mwingine na ndo utakapowapoteza marafiki.