Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,013
- Thread starter
-
- #41
meditation kuna siku nilijaribu kumeditate nikiwa nimelala nikaanza kuconcetrate na pumzi yangu nikaanza kuona kati kati kuna rangi ya zambarau ila kuna duara linazunguka nikafungua macho nikasema ngoja nifunge macho kawaida sikuona hio haliHiyo sio ndoto ni Astral travel ,ukiwa una mazoea ya kufanya meditation utaifanya kwa maamuzi na sio bahati mbaya kama ilivyokutokea wewe na utafurahi mno.
salamu tu hatukupeana chochote kileUnakumbuka maongezi yenu yalivyokuwa? Mlipeana kitu chochote kwenye ndoto au uhalisia?
ndio nipp hapa nasubiria
Kama hamkupeana kitu, basi hakuna shidasalamu tu hatukupeana chochote kile
Hautakiwi ujaribu inatakiwa iwe sehemu ya maisha yako kila siku kabla ya kulala na baada ya kuamka.meditation kuna siku nilijaribu kumeditate nikiwa nimelala nikaanza kuconcetrate na pumzi yangu nikaanza kuona kati kati kuna rangi ya zambarau ila kuna duara linazunguka nikafungua macho nikasema ngoja nifunge macho kawaida sikuona hio hali
aisee kwa nnKama hamkupeana kitu, basi hakuna shida
Kuna siku utaachana na mwili kimasihara mkuu acha uo mchezo.meditation kuna siku nilijaribu kumeditate nikiwa nimelala nikaanza kuconcetrate na pumzi yangu nikaanza kuona kati kati kuna rangi ya zambarau ila kuna duara linazunguka nikafungua macho nikasema ngoja nifunge macho kawaida sikuona hio hali
na kuna roho inanishawish sana kufanya meditation tatizo najikuta napotelea usingiziniHautakiwi ujaribu inatakiwa iwe sehemu ya maisha yako kila siku kabla ya kulala na baada ya kuamka.
unatakiwa urudi kwenuMie nina mwezi naota niko kijijini tuuu, yaani naona maisha yanaendelea huko tu. Tuko na familia na majirani wa huko na ndugu. Yaani haipiti siku mbili lazima niotr ndoto niko huko!
Sawa, binafsi nahisi huu ni ujumbe ambao pengine umefunuliwa kwa namna tofauti ila Umekuwa ukipuuza.sasa hivi nimeacha kuipatiliza hio sauti lakini naweza kua nawaza jambo kichwan ikaja sauti ndani yangu inanishauri usifanye au fanya hivi au achana nayo nikiitii hua na matokeo mazuri nikipuuzia hua matokeo yake sometimes najutiwa why sikifanya vile ninayofikiria hayatokei kabisaa ninaweza pia tukawa tunaongea jambo nikikuambia hili jambo hatutoboi ujue hatutoboi na hatufiki poppte tena tukijikwamua ndio mbaya zaidi
Ndoto zinatumika kutekeleza mambo mengi ambayo katika uhalisia pengine ni ngumu. Hata watu ambao hawawezi kukufikia kikawaida, huwa wanatumia ndoto.aisee kwa nn
Kuna ndoto za aina mbili
Symbolic dreams - hizi huwa zinabeba hatima yako na ukiota zinahitaji kuchambua in symbolic language
Pia kuna ndoto imagination dreams ambazo hutokana na fikra zako na ukiota unakuwa unaota kile kinachoendelea ktk Mawazo yako au fikra
Fanya marejeo kupitia ndoto za Yusuph pale missri.
Basi ndiyo hivyo kazi ya ndoto imekwisha. Siku ulipoota, ubongo wako ulikuwa unafikiria kwenda kutembelea eneo hilo hivyo ndoto ikakuambia utakwenda, na leo umetimiza lengo hilo.Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje.
Mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni mitatu nikishtuka kulipokucha sikuifatilia sana nikaendelea na shughuli zangu, kimbembe ni leo nimeipita hiyo njia na hiyo nyumba pia ndio nilipofikia na idadi ya minazi ipo vilevile kama nilivyoota sasa nimekuwa najiuliza hii sehemu niliiona wapi nikagundua niliota jaman inanitatiza inawezekanje na inamaanisha nini?
Unalala kwanza usingiz unaisha ,ndio unafanya ,pia ukipata mwongozo ni vizuri zaidi kwa sababu kila aina ya meditation ina kazi yake.na kuna roho inanishawish sana kufanya meditation tatizo najikuta napotelea usingizini
Hahaha umepotoshwa mno mkuu.Kuna siku utaachana na mwili kimasihara mkuu acha uo mchezo.