Bibi harusi hana furaha kabisa, isijekuwa amelazimishwa au kushinikizwa.
Sura za kwa jirani hizi
Bi Arusi achekelee nini hapo, ni mahari alokula babake tu ndo yamempeleka kwa huyu kimbaombao. Umeona toto lilivyojazia? Jamaa hamuwezi kabisaaa
si ajabu pamoja na kitendo hicho watu walipiga nduru...
huwezi waelewa kina watu8, kila mmoja akija hapa huja na lugha yake bi mkubwa...
ngoja aliyeandika hapo atakuja kukujibu...
lol kwa hiyo wewe ni namba ngapi kati ya8