Hii ndo timu ya kushangilia bila presha

Hii ndo timu ya kushangilia bila presha

Nsumbanzunya

Senior Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
177
Reaction score
42
Kama unataka kufurahia michuano ya fainali za kombe la dunia kwa kushangilia timu isiyokupa presha ya kufungwa basi shangilia UBELGIJI(Belgium) huko utakutana na wachezaji wakali kama:-Mignolet(Liverpool),V.Kompany(M.city),Lukaku,Miralas(Everton),Fellaini,Januzaj(M.United) n.k
 
How typical

Utakiwi uishangilie timu kwa sababu inawachezaji wazuri, ina shinda mara kwa mara, au ina squad inayokuvutia kutokana na international re-known stars: unashabikia timu kwa sababu ya unconditional support and love.

Ndio maana waafrika wao timu zao R.Madrid, Barcelona, Man Utd, Bayern, Arsenal, Chelsea and all those regular contenders of Champions league. Ukija kikapu Miami, Spurs, Lakers support is fading, NY no one cares anymore.

Yaani waafrika wao wanachopenda ni mambo mazuri mazuri tu na makubwa makubwa, nani mwenyeshida ya kutaka kuona jitihada za underdogs as in Everton na tight budget or Pacers.

Acheni kupenda vya kunyonga......jaribuni na kuchinja, na hivi ndio kila kitu kinavyofanyika ndani ya afrika watu kupenda vitu rahisi rahisi ambavyo avisumbui kichwa, kupachikwa kwenye makazi, kufilisi faida za biashara no time kukuza maendeleo etc, badilikine.
 
Mkuu wewe unashangilia timu ipi?
Three Lions because i have unconditional love with them.

Extra
All the African representatives and Holland because they have large numbers of blacks, equality of selection based on talent and their attitude towards racism.
 
hakuna sie jua kuwa Brazil ndo bingwa, hapa tunaenda kushuhudia already determined results.
 
Kama unataka kufurahia michuano ya fainali za kombe la dunia kwa kushangilia timu isiyokupa presha ya kufungwa basi shangilia UBELGIJI(Belgium) huko utakutana na wachezaji wakali kama:-Mignolet(Liverpool),V.Kompany(M.city),Lukaku,Miralas(Everton),Fellaini,Januzaj(M.United) n.k
Kama ingekuwa kigezo ndicho basi Spain wasingepigwa tano.
 
Kama unataka kufurahia michuano ya fainali za kombe la dunia kwa kushangilia timu isiyokupa presha ya kufungwa basi shangilia UBELGIJI(Belgium) huko utakutana na wachezaji wakali kama:-Mignolet(Liverpool),V.Kompany(M.city),Lukaku,Miralas(Everton),Fellaini,Januzaj(M.United) n.k

"Kula kitu roho inapenda","Na kama ni raha jipe mwenyewe"

Hongera kwa kuchagua Belgium."Kipendacho roho....

Kila lakheri,have fun...
 
hakuna sie jua kuwa Brazil ndo bingwa, hapa tunaenda kushuhudia already determined results.

Naona unaota ndoto za Alinacha,kiwango cha Brazil bado sana hata kama wakibebwa na marefa
 
Three Lions because i have unconditional love with them.

Extra
All the African representatives and Holland because they have large numbers of blacks, equality of selection based on talent and their attitude towards racism.

mkuu ndio chama langu hili sio unahama timu kwa ajili ya mchezaji mmoja
 
Three Lions because i have unconditional love with them.

Extra
All the African representatives and Holland because they have large numbers of blacks, equality of selection based on talent and their attitude towards racism.
Safi sana,
Ila Cameroon kwa ninavyoona tumeshapunguza timu(nchi moja ya Afrika) tayari labda tutegemee maajabu kuvuka makundi.

Umeongea jambo la msingi sana mfano hai Taifa Stars tu inatushinda, kuchaguana eti kwa majimbo au kupendeleana kisa eti Yanga/Simba/Azam sababu ziko Dar badala ya kuangalia vipaji wao wanaangalia majina, toka nenda mikoani kuna vipaji vya kufa mtu.

Au ikitokea mwalimu anaejali vipaji analetewa siasa kwenye kazi yake na kupangiwa wachezaji wa kuchezea Stars
 
Lukaku si mchezaji wa Everton mkuu yy Chelsea kule aliazimwa tu ili acheze kuliko kukaa bench
 
How typical

Utakiwi uishangilie timu kwa sababu inawachezaji wazuri, ina shinda mara kwa mara, au ina squad inayokuvutia kutokana na international re-known stars: unashabikia timu kwa sababu ya unconditional support and love.

Ndio maana waafrika wao timu zao R.Madrid, Barcelona, Man Utd, Bayern, Arsenal, Chelsea and all those regular contenders of Champions league. Ukija kikapu Miami, Spurs, Lakers support is fading, NY no one cares anymore.

Yaani waafrika wao wanachopenda ni mambo mazuri mazuri tu na makubwa makubwa, nani mwenyeshida ya kutaka kuona jitihada za underdogs as in Everton na tight budget or Pacers.

Acheni kupenda vya kunyonga......jaribuni na kuchinja, na hivi ndio kila kitu kinavyofanyika ndani ya afrika watu kupenda vitu rahisi rahisi ambavyo avisumbui kichwa, kupachikwa kwenye makazi, kufilisi faida za biashara no time kukuza maendeleo etc, badilikine.

ninependa comment yako.
 
hakuna sie jua kuwa Brazil ndo bingwa, hapa tunaenda kushuhudia already determined results.

Unaota mchana; kwa lipi hao Brazil wanastalihi sifa hizo? Kuifunga Croatia? Subiri utaona watakavyofanywa hivi karibuni!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safi sana,
Ila Cameroon kwa ninavyoona tumeshapunguza timu(nchi moja ya Afrika) tayari labda tutegemee maajabu kuvuka makundi.

Umeongea jambo la msingi sana mfano hai Taifa Stars tu inatushinda, kuchaguana eti kwa majimbo au kupendeleana kisa eti Yanga/Simba/Azam sababu ziko Dar badala ya kuangalia vipaji wao wanaangalia majina, toka nenda mikoani kuna vipaji vya kufa mtu.

Au ikitokea mwalimu anaejali vipaji analetewa siasa kwenye kazi yake na kupangiwa wachezaji wa kuchezea Stars
Timu ya taifa wengine tumechoka kuulizwa hivi Tanzania hakuna timu ya mpira, pengine labda kukosekana kwa international scouts kunachangia maana watu kama akina Kalou and Toure brothers ambao wamekuwa pamoja Ivory Coast wanakwambia tangia wadogo walikuwa na descipline ya mpira na lifestyle ya mpira, mazoezi, stamina, na ndoto za kucheza ulaya na wote wakanyakuliwa baadae kutoka katika academy moja.

Sasa sisi huyo Ngassa trial ya westham tu ilimshinda, si kwamba Redknapp akumkubali kwa kipaji/skills bali Ngassa alishindwa fitness test za mpira wa uingereza.

Kwa maana hiyo unaweza kuwa na timu nzuri lakini wachezaji wanamaliza dakika tisini wakiwa wamebakia na nguvu kiasi gani, sasa hawa wenzetu wanaweza kwenda nao wanajua zikifika dakika za sabini moto mkali TZ squad chali hizo ndio dakika za kuwasulubu. Ni kama mbio za 10,000 meters jamaa wakali wanatangulia kwa kasi, lakini zikibaki mita elfu chache na kasi ndio inazidi kuwa ya nguvu. Hapo ndio kuna kasheshe na timu yetu na wachezaji inapobidi hawana huwezo wa international stamina demands na nidhamu ya afya considering they are athlete after all.

Binafsi naona serikari imekosa mkakati wa kutupa national pride katika michezo and more needs to be invested it can boost national morale and solidarity in times like this you know.
 
Nao pia qatasepa kwani ubelgiji na spain ni timu ipi yenye mastaa zaidi. Ubelgiji haiwafikii hata argentina kwa mastaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom