mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Nao pia watafungwa kwani ubelgiji na spain ni timu ipi yenye mastaa zaidi. Ubelgiji haiwafikii hata argentina kwa mastaa
Kama unataka kufurahia michuano ya fainali za kombe la dunia kwa kushangilia timu isiyokupa presha ya kufungwa basi shangilia UBELGIJI(Belgium) huko utakutana na wachezaji wakali kama:-Mignolet(Liverpool),V.Kompany(M.city),Lukaku,Miralas(Everton),Fellaini,Januzaj(M.United) n.k
hakuna sie jua kuwa Brazil ndo bingwa, hapa tunaenda kushuhudia already determined results.
mkuu ndio chama langu hili sio unahama timu kwa ajili ya mchezaji mmoja
Na kwa jinsi tunavyopenda mpira roho inauma sanaTimu ya taifa wengine tumechoka kuulizwa hivi Tanzania hakuna timu ya mpira,
Ni kweliSasa sisi huyo Ngassa trial ya westham tu ilimshinda, si kwamba Redknapp akumkubali kwa kipaji/skills bali Ngassa alishindwa fitness test za mpira wa uingereza.
Nakubaliana na wewe mkuu ingawa Raisi Kikwete alijitahidi kuhamasisha michezo hasa mpira wa miguu lakini haikusaidiaBinafsi naona serikari imekosa mkakati wa kutupa national pride katika michezo and more needs to be invested it can boost national morale and solidarity in times like this you know.
Nilichokiona mimi kupitia kipindi cha TV ni kocha wa timu ya Musoma or Shinyanga akisisitiza mpira wa leo unavyochezwa na kujitahidi kutoa nidhamu kwenye chama chake, katika swala hilo hilo wachezaji wazamani pia wamekiri sikuhizi wachezaji hawana nidhamu na awaheshimu nafasi yao kulinganisha na wao ambao wengine walikuwa wakikimbia kila asubuhi kwa ajili ya stamina tu, licha ya mazoezi ya mchana.Na kwa jinsi tunavyopenda mpira roho inauma sana
Nakubaliana na wewe mkuu ingawa Raisi Kikwete alijitahidi kuhamasisha michezo hasa mpira wa miguu lakini haikusaidia
Mkuu kote uko sawa na umechambua vizuri sana. Na hii inatakiwa tufuate mfano wa serikali ya Senegal baada ya timu ya Taifa kuwa inasua sua mara kwa mara walichofanya ni kusitisha timu ya Taifa kushiriki na kuanza kuinoa upya na matunda yake yameonekana kina FADIGA, SULEYMAN CAMARA, HENRY CAMARA, DIAO(DJAO), EL HADJI DIOUF, DIOP na wengineo, si unaona ujio wao ukawa na mabadiliko ya hali ya juu.Nilichokiona mimi kupitia kipindi cha TV ni kocha wa timu ya Musoma or Shinyanga akisisitiza mpira wa leo unavyochezwa na kujitahidi kutoa nidhamu kwenye chama chake, katika swala hilo hilo wachezaji wazamani pia wamekiri sikuhizi wachezaji hawana nidhamu na awaheshimu nafasi yao kulinganisha na wao ambao wengine walikuwa wakikimbia kila asubuhi kwa ajili ya stamina tu, licha ya mazoezi ya mchana.
Serikari inatakiwa kuweka academy ya mpira ndio nitaamini hipo seriously, na academy za michezo mengine. Mfano Kenya kwenye riadha tu kuna clubs kadhaa ambazo zipo sponsored na serikari ama previous successful athletes ambao wanarudisha kwao kutokana na mapenzi ya taifa. Hawa jamaa wanafanya summer camps na wanagharamia wanariadha kipindi hicho cha tizi na matunda yanaonekana as days go Kenya is getting successful, Haile Gebresellasie amekopi mfumo huo matunda yanaonekana, sie wambulu tunawaangalia tu wakati jamaa wakiwekeza kule wakenya tungewatia adabu.
Kwa hivyo kama tupo serious na matokeo ya baadae lazima tuanze mapema na vijana, leo timu ya ivory coast karibu wote wamecheza pamoja wakiwa wadogo tangia academy na wanajuana vizuri tu, huko ndio kuwa serious. Wanariadha, wakimbiaji wakubwa wa kimataifa wanajuana tangia kwenye junior championships, where it that investment in Tanzania kwa vijana. Mastaa wengi wa UMISETA leo ndio walevi wakubwa.
Mkuu na FRANCE naoThree Lions because i have unconditional love with them.
Extra
All the African representatives and Holland because they have large numbers of blacks, equality of selection based on talent and their attitude towards racism.
Kama unataka kufurahia michuano ya fainali za kombe la dunia kwa kushangilia timu isiyokupa presha ya kufungwa basi shangilia UBELGIJI(Belgium) huko utakutana na wachezaji wakali kama:-Mignolet(Liverpool),V.Kompany(M.city),Lukaku,Miralas(Everton),Fellaini,Januzaj(M.United) n.k
Mkuu bado, michuano ya mwaka huu wengi wamejiandaa usichukulie kirahisi rahisi tuendelee kufanya subrahakuna sie jua kuwa Brazil ndo bingwa, hapa tunaenda kushuhudia already determined results.
Unaota mchana; kwa lipi hao Brazil wanastalihi sifa hizo? Kuifunga Croatia? Subiri utaona watakavyofanywa hivi karibuni!
Sent from my iPhone using JamiiForums