Hii ndo situation ....

ndio maana mfalme Suleiman aliomba apatiwe hekima, kwa maana aliona mengine yote ni ubatili mtupu!!! Hekima ni mwisho wa yote!!!
 
''tunarudishana nyuma mambo ya kuibianaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''
 
Mengine hayasemwi hadharani. Wewe fanya kama katika ile hadithi ya "Mfalme ana pembe". Nenda msituni, chimba shimo, sema shibe yako "Wifi na kaka wanavunja amri ya sita".
Baada ya muda utaota mti, matunda yake yakipevuka yatamaliza kazi.
 
Napenda kuwasalimu kwa
Herufi kubwa wataalum wote
wa mambo ya nje na ya ndani ..

nway hii ndo situation yenyewe..
mtu na mke wake ni wapenzi wa muda
mrefu sana tangu shuleni .. wameoana
miaka tisa iliyopita na wana watoto wawili..

kaka ni doctor na mke ndio anaeangalia
na kutunza biashara zenu ( mna Insurance company)..

huyo mke ni mtu mzuri sana
familia ya kijana wanampenda sana
especially wifi yake. huyo wifi anarafiki yake wa karibu sana
wote wanne wamejuana tangu udogoni na shule waliyoenda ni moja..

siku ya siku ikafika huyo kijana akarudi kwao kusalimia..
huyo rafiki wa wifi alikuwa hapo nyumbani ... jinsi rafiki na
kaka walivyokuwa wanaongea ni kama kuna attraction fulani na
mvutio wa kimapenzi kutoka na body language yao ...dada ali notice ..

baadaye ndo dada akamuuliza rafiki nini kulikoni ??
rafiki hakuweza kuficha akasema yeye na kaka yake wanamahusiano
ya kimapenzi tangu na tangia mpaka sasa... na sasa hisia zao za kimapenzi zimekua
sana hata kuficha ficha wameacha ... na alipomuuliza kaka naye akasema ni kweli ..

sasa wewe kama wifi na uko karibu sana na watoto na wifi yako
anakupenda kupita kiasi , mnaongea na kusaidiana mengi ..
Je utamwambia ??? nani vipi kuhusu kaka yako??
na we kama mume utajisikiaje ukijua ni dada kavunja ndoa yako??
wifi alishawahi kusema anampenda sana kaka yako..
na kitu kimoja ambacho kitamtenganisha yeye na kaka
ni kama mmoja akisaliti ndoa yao na familia..
halafu hapo ukipiga mahesabu kaka na rafiki yako walianza
kabla ya ndoa, baada ya ndoa mpaka sasa kaka anafamilia..



anunue line mpya ya simu
aandike msg kuuubwaa amtumie wifi
then destroy line .
nawasilisha
nb;andika msg yenye information za kiujitosheleza that ata wif akitaka afanye uchunguz asipate tabu.
 
Napenda kuwasalimu kwa
Herufi kubwa wataalum wote
wa mambo ya nje na ya ndani ...

Afro Denzi (AD) .. huwa sijui kwanini nakufananisha sana na Dena Amsi (DA) .... from story telling approach to ... AD and DA ... what a 'reversed' similarity!!
 
AD,

Hapo hakuna tatizo kwa huyo wifi. Analotakiwa kufanya ni kuacha wafu wazike wafu wao! Hata siku moja mtu yeyote asithubutu kupeleka kimbelembele chake eti anampenda mtu kumweleza mambo kama hayo. Waache tu watajuana siku moja na watasolve wenyewe.

Wifi atulie tu na ajifanye hajui lolote.

...busara tupu. Hakuna kitu mbaya kujifanya kupeleka ushuhuda, halafu
jibu la kwanza unaambiwa, "...unaniambia ili iweje? ...wewe ndio umejua leo?"
 
hizi ishu za kusanifiana/kuchorana huwa zinanikera sana sana, hapo ukute wifi yangu anakujaga na huyo frnd wake nyumbani kwangu nawakarimu kama vile wote mawifi kumbe mmoja anaku enjoy, kwa mara ya kwanza ningeshikishana adabu na mwanamke mwenzangu juu ya mwanaume....kuchorana gani huku?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Na itakuaje kama wifi atakuja kujua kinachoendelea kati ya mume wake na huyo dada na kugundua kuwa na mm naujuwa ukweli wote?
Hivyo kama ni mm, namtext kwa kumtaarifu indirect. Kwa maana kuwa nitamtaka afanye uchunguzi juu ya mume wake na huyo dada. Ila nitamtahadharia juu ya kumuambia mtu yeyote yule kama anataka kujuwa ukweli uliopo. Hapo tena kazi kwake, mm langu jicho tu.
 
DAH!!
hata sina la kusema
yani in short kaka, wifi, na wifi's friend wanamchora bidada..duuh :yawn:

Yani dia inauma sana wengine unakuta hata wazazi wanajua whats going on ila kila mtu anakula kobisi tu. Wanamchora mke hadi basi.
 
AD,

Hapo hakuna tatizo kwa huyo wifi. Analotakiwa kufanya ni kuacha wafu wazike wafu wao! Hata siku moja mtu yeyote asithubutu kupeleka kimbelembele chake eti anampenda mtu kumweleza mambo kama hayo. Waache tu watajuana siku moja na watasolve wenyewe.

Wifi atulie tu na ajifanye hajui lolote.

asante sana babu DC
kwa michango yako nimesoma yote
lakini babu wifi aki find out kwamba sisi
wote watatu tunajua kuhusu hilo na hakuna aliye sema kitu.....
na kila mara mimi na rafiki yangu tunaenda kwa wifi kumsalimia..
nawachukua watoto wanakaa kwangu kwa wiki au kitu...
na wifi ananiamini kupita kiasi ... Je huoni hapa tunaweza haribu kila kitu
kama hamana atakaye sema kitu soon???
 
Afro Denzi (AD) .. huwa sijui kwanini nakufananisha sana na Dena Amsi (DA) .... from story telling approach to ... AD and DA ... what a 'reversed' similarity!!

Dena dada yangu mkubwa...
kwa hiyo hujakosea my dear ..
asante.
 
anunue line mpya ya simu
aandike msg kuuubwaa amtumie wifi
then destroy line .
nawasilisha
nb;andika msg yenye information za kiujitosheleza that ata wif akitaka afanye uchunguz asipate tabu.

to some point
nakubaliana na wewe mpenzi
mie naoana ni bora kutafuta njiaa ya kumwambia
kuliko wote kupiga Kimya..
 
purely non-sense: ni zilezile adithi za Abunwasi! najuta hata kwa nini nachangia hii thred!:spy:
 
Kama walivyosema Maty,Susy na DC hapo ju, hukuna haja ya kumwambia wifi yako. Hilo swala ni zito na kunauwezukano wa yeye kuchukua hatua hatua mbaya baada ya kujua ukweli wote.
Utajkisikiaje kama wifiyo akimtaliki kaka yako kwa sababu ya hiyo taarifa utakayompa?
Bora muache aje ajue mwenyewe kivingine lakini si kwa kupitia kwako

avatar16818_4.gif
 
Ukiona Mtu na wifi yake wanapendana sana jua kuna tatizo (Kuna kitu wana-share). Possibility kubwa wanatunziana siri.
 
Back
Top Bottom