Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
na watatunyonga vya kutosha tu utadhani kosa ni letu kumbe mambo ya sir GOD
Kabisa mkuu.na watatunyonga vya kutosha tu utadhani kosa ni letu kumbe mambo ya sir GOD
Umeona eennhh?!!.Dah jf ni dawa ya stress idumu milele
Kabisa mkuu stress free zoneUmeona eennhh?!!.
Kha!khaa!!,kweli aisee.Kabisa mkuu stress free zone
Wanatuonea wivu kwa kuwa wanawake wetu ni visu.Sasa unataka kutuaminisha wanaume weusi wanaobaguliwa na wao wana mkia wa "KONDOO"???.
Hiyo picha ni tusi kwa Waafrika.
Kha!kha!.Huo mkia supu yake sasa hatari