Hii ndo intavyuu yako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo intavyuu yako!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by yahoo, Apr 4, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  siku moja bwana msomi alienda kuomba kazi kwenye kampuni moja ,alimkuta mtu *mmoja mlangoni akiwa mchafu, kifua wazi huku kashika rungu, yule mtu alimsimamisha yule msomi alafu akamslimia.'habari yako muheshimiwa'yule msomi akamjibu 'Chunga mdomo wako mimi siwezi kusalimiana na mlinzi,mimi msomi kamwe siwezi kusalimiana na mtu alieishia darasa la saba...msomi alijibu huku akiingia ndani .msomi aliingia ndani alafu akamkuta mtu mapokezi na ilikua hivi: msomi"Habari yako ndugu naweza kumwona bosi mwajiri wa kampuni hii? Yule jamaa akajibu 'Vizuri tayari umeshafanyiwa mahojiano na mtu ambaye amekukaribisha kule mlangoni ndiye bosi mwenyewe na hiyo ndo intavyuu yake
   
 2. Mirajr93

  Mirajr93 Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 25
  Teh teh teh...
   
 3. kajoli.com

  kajoli.com Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dah! we have to respect all
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ofisi gani?
   
 5. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama alikuwa anaomba kazi ya Jeshi atapata.
   
Loading...