Inauma sana na kusikitisha hawa wateule wanavyo walazimisha wanyonge kuvinunua hivyo vitambulishoNdiyo maana muuza madafu alitaka kumtoboa mh.machali na kisu tumboni kisa kitambulisho cha elf20 ,wakati toka asubuhi jamaa hajauza hata 2000
kwakweli hii ndio wanyonge wenyewe.Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Hiyo 20,000 ni kwa mwaka piga hesabu kwa siku ni chini ya sh 100 watanzania tujenge utamaduni wa kulipa kodi tuache kulalamika, watu watoto wenu wanasoma bure hadi form 4 hizo pesa zinatoka wapi, vituo vya afya, zana kijeshi nk tujitahidi kuwaza nje ya box,Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
They dont careHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Hali ni ngmu sanaAngalia hao wengine wanavyosikitika.
Picha inatia simanzi sanaHapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata magungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Hiyo 20,000 ni kwa mwaka piga hesabu kwa siku ni chini ya sh 100 watanzania tujenge utamaduni wa kulipa kodi tuache kulalamika, watu watoto wenu wanasoma bure hadi form 4 hizo pesa zinatoka wapi, vituo vya afya, zana kijeshi nk tujitahidi kuwaza nje ya box,
Mishipa ya aibu imefichwa kwenye surualiHuyo mbaba hata aibu hanaa
Yeye mwenyewe hajawahi kutumia hekima kwenye maamuzi yake zaidi ya kukurupuka.Inapaswa kutumia hekima - "wakati fulani aliwahi kumtaka waziri mmoja kutumia hekima kabla hajafikia maamuzi ya kubomoa nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria"
watumie hekima hiyo hiyo!