Hii ndiyo Serikali ya wanyonge?

Waweza kukuta ....wote hao waliofikia umri wa miaka 18s waliipigia kura ccm
 
Naona anajiuliza hivi nikwanini niliichagua ccm?
Daahh masikini namuona m-dada hapo amevaa blauzi ya kijani na kitenge chekundu ameshika tama ... Ameishiwa nguvu kabisa
 
Mahakama za Nchi gani?
Au hizi zilizomrejesha Lipumba CUF??
 
Kweli kabisa maana kina mama ndiyo wslikuwa kimbelembele sana kuichagua ccm kisa kupewa vikanga
Waweza kukuta ....wote hao waliofikia umri wa miaka 18s waliipigia kura ccm
 
Najuta sana kuipigia kura yangu Chadema 2015, ni kati ya makosa mabaya zaidi nimewahi kufanya hapa duniani. Najuta kwakweli
Waweza kukuta ....wote hao waliofikia umri wa miaka 18s waliipigia kura ccm
 
Sema watu hawamuelewi raisi anaposema serekali ya wanyonge anamaanisha serekali yakuwanyoosha wanyonge.
 
Ndiyo maana muuza madafu alitaka kumtoboa mh.machali na kisu tumboni kisa kitambulisho cha elf20 ,wakati toka asubuhi jamaa hajauza hata 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…