Hii ndiyo pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara,na huyo ndo mrefu ambaye hapo hapo ni mfupi

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Eti mtu anakuambia kuna pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara?

Kwani hazipo pembe tatu duara au ni kujitoa ufahamu tuu wakuu.

Ipo pembe tatu duara.

Kama ambavyo naamini yupo mtu ambae ni mfupi kisha hapo hapo akawa mrefu.

Mfano wema sepetu ni mrefu kisha hapo hapo ni mfupi.

Kwa maana WEMA sepetu akisimama na steve nyerere atakuwa ni mrefu,wakati huo akisimama na hasheem thabiti atakuwa ni mfupi kwa mwili wake huo huo.

Pembe tatu inaweza kuonekana kama inavoonekana katika picha hapo chini.
 
Hata mimi nimeona giza tu, japo najua pembe tatu sawa na pembe tatu perpendicular (90 nyuzi)
 
Kumbe ni jukwaa la elimu! Ngoja nitoke kwanza kidogo, nitarudi baadae baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…