Hii ndiyo pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara,na huyo ndo mrefu ambaye hapo hapo ni mfupi

Kuwa serious na zingatia kanuni za hesabu,?
Zipi na nizingatie wapi?

Mana hata darasani enzi hizo nikiulizwa kwenye histori kuhusu binadamu asili yake nasema sokwe kwa kuzingatia kanuni za somo husika na pahala husika.

Nikitoka nje ya hapo nawachana na hayo makanuni.

Mada yangu na hesabu tofauti.labda tu iwe katika hesabu kuna mfano wa mada yangu.
 
ogopa sana mtu aliyetembea na lundo la wanaume halafu eti yeye ni bikra
Ahahahahaahahahah Mkuu labda hujui kakusubia bikira gani.

Wanasemaga wenyewe kuna bikra ya mbele(hii labda hana)

Kuna ya nyuma(huwenda ndo kaikusudia)
 
Sikubaliani na mleta mada,(naamini sio dhambi)

1. Hakuna mtu mrefu kisha akawa mfupi hapo hapo.
Masuala haya yanaitwa ulinganifu (comparison)
Kwa maana ukimuona mtu mweupe, maana yake umemringanisha na mweusi.
Mnene na mwembamba,
Kwa kesi ya Wema na Steve pia ni mringanisho so huwezi sema Wema mrefu au mfupi unless umeringanisha.
Swali la kujiuliza hapa ni
Kimo kipi kinachukuliwa kama kigezo cha urefu au ufupi!?
Tukipata jibu hapo, tutakua tumepata na jibu la Wema na Steve.
2 Hakuna pembe tatu kisha ikawa duara.
Simply ulichokionesha ni (Two in one figures)
Na ukitaka ku- prove zungusha duara kisha uoneshe pembe tatu bila kuchora mchoro wingine.
But I got to admit, sijaelewa logic ya content ila mifano.
Asante.
Sio dhambi kweli.

Kutia kwako neno ulinganifu bado hakubadili wema sepetu kuwa mfupi kisha hapo hapo kuwa mrefu.

Ni sawa na mimi naamini hakuna mtu mweupe duniani wakati huo mamilioni ya watanzania tokea hapo kitambo tunaitana weupe.

Sasa huwenda tusielewane kabisa.

Ndiyo mana tunakubali mjuzi wakati huo huo anaweza kuwa mjinga.

Kama ilivyo kwa mjinga wakati huo huo anaweza kuwa mjuzi.
 
Zipi na nizingatie wapi?

Mana hata darasani enzi hizo nikiulizwa kwenye histori kuhusu binadamu asili yake nasema sokwe kwa kuzingatia kanuni za somo husika na pahala husika.

Nikitoka nje ya hapo nawachana na hayo makanuni.

Mada yangu na hesabu tofauti.labda tu iwe katika hesabu kuna mfano wa mada yangu.

Ndugu nakusisitizia mara ya mwisho kuwa serious na zingatia kanuni za hesabu

Kwenye euclidean geometry hakuna kitu kinaitwa pembe tatu duara,

Lines ambazo zinagusa curves kama duara tunaita tangent lines sasa kwenye umbo lako kuna tangent lines tatu ambazo zimeunda triangle,

Halafu mkuu unaita hiyo ndio pembe tatu duara yaani wakati huo huo duara lakini duara hilohilo pembe tatu kuwa serious mzee.
 
Eti mtu anakuambia kuna pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara?

Kwani hazipo pembe tatu duara au ni kujitoa ufahamu tuu wakuu.

Ipo pembe tatu duara.

Kama ambavyo naamini yupo mtu ambae ni mfupi kisha hapo hapo akawa mrefu.

Mfano wema sepetu ni mrefu kisha hapo hapo ni mfupi.

Kwa maana WEMA sepetu akisimama na steve nyerere atakuwa ni mrefu,wakati huo akisimama na hasheem thabiti atakuwa ni mfupi kwa mwili wake huo huo.

Pembe tatu inaweza kuonekana kama inavoonekana katika picha hapo chini.View attachment 906922

Upumbavu huu...yaani mijitu inafanya ujinga sana na MB za watu....

Sijui mmesoma hesabu wapi

Punguani wahedi kabisa
 
Mkuu Safuha unachotakiwa kufahamu ni kuwa; Mungu hawezi kudhibitishwa kwa logic kama Kiranga et al wanavyotaka. Naona unajaribu very hard kudhibitisha hili lakini kwa logic utashindwa tu kwa sababu ni logic hizohizo zinazompinga. Kuna mambo mengine wanaweza kufichwa wenye "akiliwakafunuliwa wapumbavu" kwa Imani yangu Mungu hutumia visivyo na thamani awaaibishe wanaojiona wana thamani au hutumia wapumbavu awaaibishe wenye hekima. Rejea mfano wa Petro mvuvi tuu anayekabidhiwa kanisa au Paul muuaji anapewa utume wa mataifa, Daudi vs Golliat etc halafu Mungu kwa imani yangu wala haitaji kutetewa kivile kwa sababu yeye siyo baali so hapa nikumuombea Kiranga akutane na rehema za huyu Mungu na si kutaka kumprove kuwa ana exist logically.
 
Upumbavu huu...yaani mijitu inafanya ujinga sana na MB za watu....

Sijui mmesoma hesabu wapi

Punguani wahedi kabisa
Mkuu unanizushia.
Katika post yangu sikugusia kabisa suala la hesabu.hilo unalisema wewe.

Ni sawa na Mtu aseme binadamu asili yake ni kwa udongo kisha wewe uje useme tusicheze na history kabisa. Mumesoma wapi hstory,eti kisa umeona jambo hapo ambalo kwa Maoni yako unadhani yapo sehemu fulani tu.
 
Mkuu sio hivyo makusudio yangu.

Sikukusudia wala sitokusudia kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kutumia pembe tatu duara au mfano wake.

Bali makusudio yangu ni kumvunja vunja anaetumia hoja hizo kumpinga.

Wala hutokuja kukuta natumia hoja hizo kumthibitisha.

Mkuu Safuha unachotakiwa kufahamu ni kuwa; Mungu hawezi kudhibitishwa kwa logic kama Kiranga et al wanavyotaka. Naona unajaribu very hard kudhibitisha hili lakini kwa logic utashindwa tu kwa sababu ni logic hizohizo zinazompinga. Kuna mambo mengine wanaweza kufichwa wenye "akiliwakafunuliwa wapumbavu" kwa Imani yangu Mungu hutumia visivyo na thamani awaaibishe wanaojiona wana thamani au hutumia wapumbavu awaaibishe wenye hekima. Rejea mfano wa Petro mvuvi tuu anayekabidhiwa kanisa au Paul muuaji anapewa utume wa mataifa, Daudi vs Golliat etc halafu Mungu kwa imani yangu wala haitaji kutetewa kivile kwa sababu yeye siyo baali so hapa nikumuombea Kiranga akutane na rehema za huyu Mungu na si kutaka kumprove kuwa ana exist logically.
 
Ndugu nakusisitizia mara ya mwisho kuwa serious na zingatia kanuni za hesabu

Kwenye euclidean geometry hakuna kitu kinaitwa pembe tatu duara,

Lines ambazo zinagusa curves kama duara tunaita tangent lines sasa kwenye umbo lako kuna tangent lines tatu ambazo zimeunda triangle,

Halafu mkuu unaita hiyo ndio pembe tatu duara yaani wakati huo huo duara lakini duara hilohilo pembe tatu kuwa serious mzee.
Wapi nimegusia hesabu katika post yangu?

Au wewe umeifananisha post yangu na hesabu mkuu

Hayo mambo ya triangle yameingiaje katika post yangu mkuu.

Tukisema Mtu wa kwanza aliishi na mkewe katika bustani usije ukapayuka ukasema tusicheze na history bwana mara history haisemi hivyo...hapo utakuwa unachanganya mambo ambayo yanazungumzwa nje ya history.

Nawaza tu ikiwa hakuna alama ya kimazingira inayoonyesha leo ni jumatatu au jumanne haya majina ilikuwaje yapo mpaka leo kama sio watu ndo waliyaita na yakakua ilhali kulikuwa na uwezekano wa kuwa na siku nyingine zaidi ya saba katika wiki,ila kwa kuwa tumezoeshwa hivyo basi tunaita hivyo ziko saba.

Sasa kinachokusumbua wewe jamaa ni mazoea tu na kukariri
 
Hapa siyo mahala pazuri unaweza uambiwe utafute thamani ya x
 
Mkuu Safuha unachotakiwa kufahamu ni kuwa; Mungu hawezi kudhibitishwa kwa logic kama Kiranga et al wanavyotaka. Naona unajaribu very hard kudhibitisha hili lakini kwa logic utashindwa tu kwa sababu ni logic hizohizo zinazompinga. Kuna mambo mengine wanaweza kufichwa wenye "akiliwakafunuliwa wapumbavu" kwa Imani yangu Mungu hutumia visivyo na thamani awaaibishe wanaojiona wana thamani au hutumia wapumbavu awaaibishe wenye hekima. Rejea mfano wa Petro mvuvi tuu anayekabidhiwa kanisa au Paul muuaji anapewa utume wa mataifa, Daudi vs Golliat etc halafu Mungu kwa imani yangu wala haitaji kutetewa kivile kwa sababu yeye siyo baali so hapa nikumuombea Kiranga akutane na rehema za huyu Mungu na si kutaka kumprove kuwa ana exist logically.
James Comey,

Sijawahi kupingana na imani. Unaruhusiwa kuamini unachotaka.Mradi usivunje sheria au kuingilia uhuru wa wenzako. Katiba ya nchi inakupa uhuru huo.

Universal Declaration of Human Rights inakupa uhuru huo.

Mimi mwenyewe nikiona mtu mwenye imani anaingiliwa katika imani yake, nitamtetea asiingiliwe.

Kwa sababu naelewa na kuheshimu uhuru wa kuabudu.

Ukishaenda kusema Mungu hapimiki kwa logic tu, ila yupo,umetoka kwenye mazungumzo ya facts, unaenda kwenye imani.

Huko kwenye imani mimi kukupinga wewe nitakuwa nakosa ustaarabu.

Mimi nabishana fact, si imani.
 
Back
Top Bottom