Hii ndiyo pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara,na huyo ndo mrefu ambaye hapo hapo ni mfupi

Kuwa serious mzee kwani hapo si kuna geometrical figures mbili hata kama ukiambiwa kutafuta eneo lenye kivuli au lote itakupasa kutumia kanuni za triangle halafu na la circle.
Sasa huku ni kutumia akili zilizofungwa mkuu.
Mimi sikuja kutaka kutafuta eneo lililotiwa kivuli.

Utatafutaje kitu unakiona kimetiwa kivuli.
Hesabu zilizonisaidia katika maisha yangu ni

Jumlisha
Toa
Zidisha
Gawanya.

Hayo mengine ni chemsha bongo tu ambazo watu wakazifanya hakuna kinyume na hizo.
 
Hapo hakuna pembetatu ambayo ni duara, kuna maombo mawili, duara na pembetatu. Vinginevyo niwe sielewi pembetatu au duara ni umbo la aina gani.

Nikirudi kwenye mfano wa urefu na ufupi, ulichokisema inamaanisha inategemea na mazingira, lakini hoja yako unataka uijenge kwamba huyo mtu anavyo vyote kwa wakati mmoja, kwamba ni mfupi na mrefu.

Pia ungejaribu kuelezea kidogo unataka kufikisha ujumbe gai au dhumuni la huu uzi ni lipi?
 
Mwenye macho na aone.

Majaliwa kassim majaliwa ni Mbunge wa Ruangwa wakati huo huo ni waziri mkuu wa tanzania.
 
Sasa hapo ina mahusiano yoyote na mfano wako kweli? Unachotaka kukisema bado haujaweza kukiwakilisha vizuri.
Sijakataa kwamba hakuna pembetatu au umbo duara, nnachopinga ni kuwepo kwa pembetatu ambayo ni duara, haipo.
Ingekuwepo, ingekua na jina lingine.

Tukirudi kwa mfano wa waziri, ni kweli ni mbunge na ni waziri, kuna jina moja lenye kumaanisha hiyo hali? Hapo utaona kuna uwaziri na ubunge kama ambavyo umeunganisha umbo la pembe tatu na umbo la duara pamoja.
 
Sikubaliani na mleta mada,(naamini sio dhambi)

1. Hakuna mtu mrefu kisha akawa mfupi hapo hapo.
Masuala haya yanaitwa ulinganifu (comparison)
Kwa maana ukimuona mtu mweupe, maana yake umemringanisha na mweusi.
Mnene na mwembamba,
Kwa kesi ya Wema na Steve pia ni mringanisho so huwezi sema Wema mrefu au mfupi unless umeringanisha.
Swali la kujiuliza hapa ni
Kimo kipi kinachukuliwa kama kigezo cha urefu au ufupi!?
Tukipata jibu hapo, tutakua tumepata na jibu la Wema na Steve.
2 Hakuna pembe tatu kisha ikawa duara.
Simply ulichokionesha ni (Two in one figures)
Na ukitaka ku- prove zungusha duara kisha uoneshe pembe tatu bila kuchora mchoro wingine.
But I got to admit, sijaelewa logic ya content ila mifano.
Asante.
 
Sasa huku ni kutumia akili zilizofungwa mkuu.
Mimi sikuja kutaka kutafuta eneo lililotiwa kivuli.

Utatafutaje kitu unakiona kimetiwa kivuli.
Hesabu zilizonisaidia katika maisha yangu ni

Jumlisha
Toa
Zidisha
Gawanya.

Hayo mengine ni chemsha bongo tu ambazo watu wakazifanya hakuna kinyume na hizo.
Yawezekana kabisa unaishi ndani ya hizo hesabu unazoziita chemsha bongo

Wewe mwenyewe hapo ulipo ni hesabu pamoja na ulimwengu kwa ujumla
 
Sasa hapo ina mahusiano yoyote na mfano wako kweli? Unachotaka kukisema bado haujaweza kukiwakilisha vizuri.
Sijakataa kwamba hakuna pembetatu au umbo duara, nnachopinga ni kuwepo kwa pembetatu ambayo ni duara, haipo.
Ingekuwepo, ingekua na jina lingine.

Tukirudi kwa mfano wa waziri, ni kweli ni mbunge na ni waziri, kuna jina moja lenye kumaanisha hiyo hali? Hapo utaona kuna uwaziri na ubunge kama ambavyo umeunganisha umbo la pembe tatu na umbo la duara pamoja.
Sasa Mkuu inawezekana ukasema ukasema pembetatu duara alafu ikaonekana pembe tatu tupu bila duara kuwepo?

Sasa si ingeitwa pembe tatu tupu pasi na kutia hilo neno duara.

Yani tuseme CHADEMA kisha ndani yake pasiwe na demokrasia

Pasiwe na chama

Pasiwe na maendeleo?
 
Kwa mfano huo huo wa chadema, naomba hilo jina la umbo lenye duara ambalo hapo hapo ni pembe tatu.
 
Yawezekana kabisa unaishi ndani ya hizo hesabu unazoziita chemsha bongo

Wewe mwenyewe hapo ulipo ni hesabu pamoja na ulimwengu kwa ujumla
Yes naishi ndani ya hesabu hizo.

Mfano hapa nataka niende sokoni natumia pesa ambayo naipigia mahesabu kwenda bei gani na kurudi bei gani(kutoa)

Hivyo sikukatalii madhali umesema yawezekana.
 
Kwa mfano huo huo wa chadema, naomba hilo jina la umbo lenye duara ambalo hapo hapo ni pembe tatu.
Pembetatu duara.
Au ukitaka kwa kifupi. PEDU AU DUPE.

unafikiri miaka ya nyuma huko kulikuwepo na kitu kinaitwa chadema?

Si watu wamekuja wakaita kwa ufupi na imekuwa chadema kweli mpaka sasa.
 
Sasa huku ni kutumia akili zilizofungwa mkuu.
Mimi sikuja kutaka kutafuta eneo lililotiwa kivuli.

Utatafutaje kitu unakiona kimetiwa kivuli.
Hesabu zilizonisaidia katika maisha yangu ni

Jumlisha
Toa
Zidisha
Gawanya.

Hayo mengine ni chemsha bongo tu ambazo watu wakazifanya hakuna kinyume na hizo.

Kuwa serious na zingatia kanuni za hesabu,?
 
Mh! hapo kuna duara ndani ya pembe tatu, sio pembe tatu duara.
Kitu kile kile labda uwakilishaji uwe tofauti tu.

Nikisema pembetatu duara hapa labda nimelipa jina kwa kuanzia na lilie umbo liloanzwa mwanzo.

Mfano nikasema umbo la kwanza kuchora ndio litakuwa jina lake la kwanza na umbo la pili jina lake litakuwa la pili.

Au nikasema kinyume chake
 
Back
Top Bottom