Gwajima yeye alimaanisha jitu linalojichubua yaani mkororogoPonjoro ni ndege flan ana manyoya kichwani mengi na mkia mrefu.. makabila mengine wanaita panja/ipanja
Chunguza uelewa wako wa mamboMadhara yepi hatuwahitaji ponjoro sisi?
Kama wako tayari kinuka kinyesi, kikikikiKwahiyo wale kuku waitwao chotara, twaweza waita Ponjoro pia?
kweli lina harufu ya kibaguzi kama neno "kenge"Sio kwamba Gabachori na ponjoro ni racial slurs?
Kwa jinsi alivyongea utumbo bungeni, Hilo jina linamstahili kabisaYes, ni racial slurs. Ni kama kule ughaibuni kumwita mtu mweusi ni&&er. Inasikitisha kwamba watu wanashangilia tu bila kupima madhara yake kwenye jamii.
Ulichoweka hapa; ndiyo elimu unayojivunia wewe?Unaweza kuwa na elimu stadi, na ukawa mjinga kabisa, reason, "Elimu yetu ni ya kukariri na baadae unapewa mitihani ujibu yale uliyokariri"""
Ponjoro ni neno la kisukuma likiwa maana ya mjakazi katika Familia za kifugaji(kwa sasa ni shamba boy)Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.