Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,533
- 9,613
- Thread starter
- #21
Acha keleleUmesikia wapi kelele, kama siyo uchizi tu wa kuleweshwa na bangi unaokusumbua wewe!
Acha keleleUmesikia wapi kelele, kama siyo uchizi tu wa kuleweshwa na bangi unaokusumbua wewe!
Yes, ni racial slurs. Ni kama kule ughaibuni kumwita mtu mweusi ni&&er. Inasikitisha kwamba watu wanashangilia tu bila kupima madhara yake kwenye jamii.Sio kwamba Gabachori na ponjoro ni racial slurs?
Madhara yepi hatuwahitaji ponjoro sisi?Yes, ni racial slurs. Ni kama kule ughaibuni kumwita mtu mweusi ni&&er. Inasikitisha kwamba watu wanashangilia tu bila kupima madhara yake kwenye jamii.
Sawa panjoro fake! Basi mwambie na Ponjoro origino kuwa sasa mpo wa wili. Sawsa ponjo?
Yule wa Kizimkazi naye pia ni Ponjoro au?Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.
Ponjoro tulikubaliana kamari ni dhambi! Acha kuendekeza kamari, na pia acha ubaguzi wa kuwapendelea watoto wa ma Ponjoro wenzako.Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.
Amuulize makonda Kwann kakaa kimya 😂Upo tayari kunuka kinyesi Bw. Ponjoro wa Kinondoni
Kwani yeye haogopi kunuka kinyesi, hawezi kujibuTarimba kapigwa za uso
Tarimba mjibu Gwajima kama unaweza tunakusubiria hapa manyanya
Duh!..Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.
Unaweza kuwa na elimu stadi, na ukawa mjinga kabisa, reason, "Elimu yetu ni ya kukariri na baadae unapewa mitihani ujibu yale uliyokariri"""Siyo kweli. Maana ya "Ponjoro" siyo "shombe au Chotara".
Ponjoro ni watu wa asili ya India, wahindi.
Unatueleza habari za "usomi wa vyuo mbalimbali" bila kuvitaja hivyo vyuo; lengo la taarifa hiyo ni nini wakati haihusiani chochote na maudhui ya mada yako. Maneno machache tu hapa yanaonyesha usomi feki unaojidai nao.
Kila nikijaribu kujumlisha MTIKILA +GWAJIMA bado sipati hii kombinesheni tuiitajeGabachori = Ponjoro; sawasawa kabisa.
Ponjoro ni mkorogo kujichubuaponjoro
gabachori
mburushi
mwarab koko
kanjibai
Haya yote ni spana kwa hawa jamaa wa asili ya asia na arabun
Abas Tarimba wakati anamwanza uchokozi Gwajima alishangiliwa Bungeni acha na yeye ajutie ushetani wake wa kutetea utekaji watuYes, ni racial slurs. Ni kama kule ughaibuni kumwita mtu mweusi ni&&er. Inasikitisha kwamba watu wanashangilia tu bila kupima madhara yake kwenye jamii.
Wauluze ccm kwani ndiyo wamiliki wa PolisiccmHivi RPC Mponjoli Mwabulambo bado yupo ofisini kweli?
![]()
Mbunge Joseph Msukuma ataka RPC Geita aondolewe kwa kumtukana Rais, kuchukua rushwa kutoka kwa GGM
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku aka Musukuma amesema RPC wa Geita amemtukana Rais Magufuli na pia anachukua rushwa kutoka mgodi wa GGM na anastahili kuondolewa Anasema aliambiwa aombe radhi na wanachama wa CCM ambao Magufuli ni mwenyekiti wake ila waliomuambia akawaweka ndani Maneno ya...www.jamiiforums.com
![]()
RPC wa Geita (Mponjoli Mwabulambo): Siwezi kuwaomba radhi CCM (Kukamatwa kwa Mbunge Musukuma)
Wakati mwingine huwa misamaha inatumika vibaya.www.jamiiforums.com