Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,885
- 7,925
Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe.
Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha Pyramid ndiye umpe ubingwa.
Kono la nyani nimekupa tip nawewe ubet kwa sadaka za leo, weka zote zinarudi na pesa.