hii ndiyo kampuni ya Abdulrahman Kinana

Kuna vitu huwa tunashindwa kuvifahamu tu lakini kamwe ukishakuwa na chama tawala ambacho institutionally kiko corrupt huwezi kutegemea kupata mtu msafi. Hata watakaojitokeza kupiga kelele na kutuhumu wenzao ni kwa kuwa wanakuwa wamekosa mianya tu lakini si kwamba ni wasafi. Wako wapi akina Sitta, Mwakyembe na kundi lao la mgambo wa ufisadi? Unawasikia wakipiga kelele tena?

Kwa hiyo hata Chadema hawajapata mwanya,,ni mafisadi? Nchi nzima kwishney
 
yeyote anae ipenda ccm its either anafaidika/ anategemea kufaidika na ufisadi au ni mbumbu asie na uelewa wowote.
 
Endapo Kinana atakaa kimya kwenye hili akidhani ni upepo basi atakuwa amenipa jibu sahihi
 
Mimi huwa napata shida kuona watu wanashangaa vitendo vya hawa nyau, hii ndio tafsiri halisi CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM)
 
msomali na pembe za ndovu ni sawa na mwana fa na mabinti, yaani wapo dam dam
 
Asante kwa taarifa, ingawa tayari kuna nyuzi humu za siku za nyuma zilikuwa na taarifa nene zaidi. Kifupi ni kuwa Kinana, kama EL, JK, RA, AC, NK na wengine wengi ni mafisadi wazoefu.

Kinana alifanya ufisadi toka enzi za Mwinyi na kwa sehemu kashfa alizozipata zilimnyong'nyeza na ndio maana akaamua kujikita kwenye ngome salama yaani chamani.

Kwa hulka na wasifu Kinana ni mbunifu na pia ni msomi mzuri tu, na ndio maana hata mikakati mingi ya CCM amekuwa akitajwa kuwa mmoja wa wazalishaji wake. Lakini hana sifa ya uadilifu na misingi ya uzalendo. Suala la Wasomali na uhamiaji/biashara haramu naye ni mmoja wa wafadhili wake. Kifupi Kinana haifai Tanzania ya leo wala Tanzania tunayoitaka kesho.

Ni kweli kinana ni fisadi aliye bobea alianza enzi za Mwinyi mambo ya loliondo etc. Ukweli ni kwamba hawa jamaa - Fisadis na wote wana relate nao na CCm wanatuona sisi ni mbumbu mjinga wa reli kazi yetu ni kusahau ndiyo maana hata Mr ZERO anajisafanya ni msafi sana, Yaani tuna chezewa na kundi la watu tangu mwinyi hadi JK kwa vile wana vipaza sauti na wanajua kufukia mambo na kama vile watanzania wote hatujui kitu.

Raha wanayopata nikuwa hakuna reactions kwa lolote, kazi ni kuchangilia na kunyamaza
 
Back
Top Bottom