Hii ndiyo DNA ya Kitamaduni kabisa yenye ukweli 90%

Hii ndiyo DNA ya Kitamaduni kabisa yenye ukweli 90%

Hasira za nini sasa wakati yeye siye mbunifu wa hiyo mbinu amemegewa na wazee
ama na wewe umo kwenye ukweli usemwao?

Siyo mbunifu kama mimi ambavyo sikubuni sayansi ya viasili. Upumbavu utabaki kuwa ni upumbavu. Sijui kama huo upumbavu wa ujima ni jina la mtu unayemsemea hapa!
 
Hicho ulichoandika kingekuwa kweli basi leo hii kusingekuwa na haja ya kufanya kipimo ghali cha DNA,hivi unadhani wataalamu hawakulichunguza hilo la mistari ya mikono na kuona uhalisia wake?,kama waliuona uhalisia wake,kwanini wajikite zaidi kwenye DNA tests ambazo ni gharama?.
 
Kuendekeza mambo ya kimila katika zama hizi za kisayansi ni approach iliyokengeuka...
 
Hongera mtoa UZI kwa kuleta huu Uzi,,,Ila yanawezekana yapo au hayapo Ila navyojua mtoto anaweza kufanana kabsa na mama yake kuanzia sura,umbo na hata jinsi ya kutembea lakin kuna kitu lazma atacopy kwa baba,,,kam masikio,kucha,aidha vidole au aina ya uotaji wa nywele...

zaman nadhan mababu zangu walishikishwa mtoto,,,na ilipogunulika wakaenda kwenye mizimu na kuwekeana viapo vyao vya vizazi 50 kutok wao,,,kwamba mtoto akizaliwa na kama baba yake akiwa hai akianza kulia tu hanyamazi mpaka baba yake aje amng'ate sikio kidogo ndio atanyamaza,kinyume na hapo hanyamazi asilan hata kama ukiwa mbali kiasi gani lazma arud ufanye kinachotakiwa.... Na mbaya zaid Kwa kuonyesha wazee walikua wameamua ili aibu isiwapate kuna maji Fulani ambayo mzaz yaan mama mtoto atachanganyiwa kwenye chakula chake ale km kaenda kinyume hapon tumbo litamuuma moja kwa moja mpka kufa,, so napoona Uzi wa DNA ya kitamaduni naamin kabsa kwqmba mambo haya ya kuchepuka kumbe yalianza long long time ambapo sisi huku jf tulikua hatujafikiriwa kuzaliwa kabisa
 
Hii mada wengi wamecoment bila kujua kilichomanishwa kati ya alama za vidole au fingerprint na mikunjo ya vidole.. Fingerprint kila mmoja ana zake ila mtoa mada kazungumzia kuhusu mikunjo ya vidole na si fingerprint,
Tumemwelewa vyema, anamaanisha michoro iliyopo kwenye viganja. Ni nadra sana kufanana exactly. Hata wale identical twins wenyewe tu utakuta wana michoro tofauti.

Huyu kakurupuka tu na tafiti zake hizo za kichochoroni kwa kuwa anawania kibarua TWAWEZWA. Kuna siku huyu huyu na akili zake hizi hizi, alileta hapa utafiti wake wa kijinga kwamba sisi Watanzania ni tofauti na Waafrika wengine sababu hatuli majongoo na panya na upuuzi mwingine namna hiyo. Tukamjazia reference za makabila yetu na vyakula tunavyokula kuanzia wadudu, mizizi hadi bangi huko Njombe
 
Siyo mbunifu kama mimi ambavyo sikubuni sayansi ya viasili. Upumbavu utabaki kuwa ni upumbavu. Sijui kama huo upumbavu wa ujima ni jina la mtu unayemsemea hapa!
ni kweli upumbavu utabakia kuwa upumbavu hata kama watetezi si miongonimwao. halihitajiki povu kuthibitisha.
 
Tumemwelewa vyema, anamaanisha michoro iliyopo kwenye viganja. Ni nadra sana kufanana exactly. Hata wale identical twins wenyewe tu utakuta wana michoro tofauti.

Huyu kakurupuka tu na tafiti zake hizo za kichochoroni kwa kuwa anawania kibarua TWAWEZWA. Kuna siku huyu huyu na akili zake hizi hizi, alileta hapa utafiti wake wa kijinga kwamba sisi Watanzania ni tofauti na Waafrika wengine sababu hatuli majongoo na panya na upuuzi mwingine namna hiyo. Tukamjazia reference za makabila yetu na vyakula tunavyokula kuanzia wadudu, mizizi hadi bangi huko Njombe

Nimekuvumilia nimechoka Wewe ' Mpumbavu ' uliyekomaa. Sijawahi kuleta humu JF uzi wa utafiti wa aina hiyo uliyoisema hapo na kama una UHAKIKA kuwa nimeshawahi kuuleta haraka sana nakuomba utafute na uwawekee hapa Members. Tena UKOME kunizushia vitu ambavyo sijawahi kuvifanya na najua unataka tu UMAARUFU kujibizana na Mimi GENTAMYCINE ili usifiwe lakini nikuhakikishie tu HUTANIWEZA na HUNIWEZI. Narudia tena kusema KAMA UNA UHAKIKA MIMI NIMEWAHI KULETA HUMU JAMIIFORUMS UZI WENYE UTAFITI WA HAYO ULIYOYASEMA NAOMBA UUWEKE HAPA NA KAMA UNAJUA ' UMEKOSEA ' BASI NAOMBA HARAKA MNO NISAFISHE MBELE YA MEMBERS.
 
Kitu nachoweza kukusafisha mbele ya members ni sehemu zako za kukalia. By the way, nimekuwa interested kujua wewe ni nani kiasi nikitaka sifa nibishane na wewe?
 
Kitu nachoweza kukusafisha mbele ya members ni sehemu zako za kukalia. By the way, nimekuwa interested kujua wewe ni nani kiasi nikitaka sifa nibishane na wewe?

Ushahidi niliokutaka uuweke hapa ndiyo huu? Acha ' kujinyegisha ' hovyo Kwangu tafadhali sawa? Kama unawashwa na unataka ' kukunwa ' sema tu na usizunguke zunguke ' Mwehu ' Wewe. Unajifanya kunijua mno humu halafu umenizushia kitu ambacho sijawahi hata kukiandika humu na bila aibu unashindwa kujisafisha. Bahati nzuri Members wa JF wanaojitambua wanaujua uwezo wangu na ' impact ' yangu na kunizushia Kwako usidhani ndiyo kutanipunguzia ' Umaarufu ' wangu na badala yake mnavyozidi ' kujipendekeza ' na ' kushoboka ' hovyo Kwangu ndiyo Kwanza mnaniongezea ' Fame ' yangu humu ambayo ni ya ' kutukuka ' zaidi.
 
Mtoa mada usitake kutuhamisha Familia make tumetoka mbali hadi kufikia hatua hii!!!
 
Ndugu wawili watafanana hizo alama za mikono.Je mmoja akimchukulia mwenzake mtoto akizaliwa kutumia hiyo njia huoni kwamba ni kufail?
 
Tanzania kumbe kubambikiana kumeanza zamani? Maana juzi juzi nimesoma tafiti zinaonesha asilimia nyingi sana ni watoto mliobambikiwa baba zenu.

Jee, wewe hukubambikiwa baba'ko?
 
Back
Top Bottom